Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

DODOMA JIJI YATOA SARE NA GEITA 1-1 JAMHURI

WENYEJI, Dodoma Jiji FC wamelazimishwa sare ya 1-1 na Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku wa jana Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma.

Geita walitangulia kwa bao la Daniel Lyanga dakika ya 75, kabla ya Waziri Junior kuisawazishia Dodoma Jiji FC dakika ya 90.

Kwa matokeo hayo, Dodoma Jiji wanafikisha pointi 17 katika nafasi ya tano na Geita Gold inatimiza pointi 13 katika nafasi ya tisa baada ya wote kucheza mechi 12.

[QUOTE="mhariri, post: 413, member: 122"] [HEADING=2]DODOMA JIJI YATOA SARE NA GEITA 1-1 JAMHURI[/HEADING] WENYEJI, Dodoma Jiji FC wamelazimishwa sare ya 1-1 na Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku wa jana Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma. Geita walitangulia kwa bao la Daniel Lyanga dakika ya 75, kabla ya Waziri Junior kuisawazishia Dodoma Jiji FC dakika ya 90. Kwa matokeo hayo, Dodoma Jiji wanafikisha pointi 17 katika nafasi ya tano na Geita Gold inatimiza pointi 13 katika nafasi ya tisa baada ya wote kucheza mechi 12. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom