Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

YANGA YAIZIMA COASTAL MKWAKWANI,YAIPIGA 2-0

[ATTACH=full]331[/ATTACH]

VIGOGO, Yanga SC wamerejea na moto wao kwenye Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Coastal Union jioni ya leo Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga.

Mabao ya Yanga SC leo yamefungwa na mshambuliaji, Fiston Kalala Mayele dakika ya 41 kwa kichwa akimalizia krosi ya Mkongo mwenzake waliyetoka naye AS Vita ya kwao, Kinshasa msimu huu, beki Djuma Shabani na kiungo Mrundi, Saido Ntibanzokiza dakika ya 90 akimalizia pasi ya winga mzawa, Farid Mussa Malik.

Kwa ushindi huo, Yanga SC inayofundishwa na kocha Mtunisia Mohamed Nasreddine Nabi inafikisha pointi 32 baada ya kucheza mechi 12 na kuendelea kuongoza ligi kwa pointi nane zaidi ya mabingwa watetezi, Simba SC ambao hata hivyo wana mechi mbili mkononi.

Coastal Union inayofundishwa na kocha Mmarekani, Melis Medo inabaki na pointi zake 17 za mechi 12 pia katika nafasi ya nne.

[QUOTE="mhariri, post: 414, member: 122"] [HEADING=2]YANGA YAIZIMA COASTAL MKWAKWANI,YAIPIGA 2-0[/HEADING] [ATTACH type="full"]331[/ATTACH] VIGOGO, Yanga SC wamerejea na moto wao kwenye Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Coastal Union jioni ya leo Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga. Mabao ya Yanga SC leo yamefungwa na mshambuliaji, Fiston Kalala Mayele dakika ya 41 kwa kichwa akimalizia krosi ya Mkongo mwenzake waliyetoka naye AS Vita ya kwao, Kinshasa msimu huu, beki Djuma Shabani na kiungo Mrundi, Saido Ntibanzokiza dakika ya 90 akimalizia pasi ya winga mzawa, Farid Mussa Malik. Kwa ushindi huo, Yanga SC inayofundishwa na kocha Mtunisia Mohamed Nasreddine Nabi inafikisha pointi 32 baada ya kucheza mechi 12 na kuendelea kuongoza ligi kwa pointi nane zaidi ya mabingwa watetezi, Simba SC ambao hata hivyo wana mechi mbili mkononi. Coastal Union inayofundishwa na kocha Mmarekani, Melis Medo inabaki na pointi zake 17 za mechi 12 pia katika nafasi ya nne. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom