Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Ruvu Shooting Inautaka Ubingwa Ligi Kuu.

UONGOZI wa Ruvu Shooting, umebainisha kuwa lengo lao kuu ni kufanikisha timu yao inatwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu wa 2021/22.

Timu hiyo ambayo kabla ya mechi za jana Jumatatu ilikuwa nafasi ya 14 kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara, Januari 20, mwaka huu itacheza dhidi ya Mbeya City kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya.

Akizungumza na Spoti Xtra, Mkuu wa Kitengo cha Habari, Ruvu Shooting, Masau Bwire, alisema kuwa jambo la kwanza wanalohitaji msimu huu ni kuchukua ubingwa.

“Uongozi, benchi la ufundi pamoja na wachezaji wanafahamu umuhimu wa kufanikisha malengo ya klabu

japo tulipitia changamoto ya kuondoka kwa wawekezaji na wachezaji tisa, lakini hiyo haitokuwa sababu ya kuifanya

timu isifike hatua tunayohitaji kwa sababu nafasi hiyo ina fursa kubwa na nyingi zaidi kuliko nafasi zingine zote kwenye msimamo,” alisema Bwire.

[QUOTE="Amir, post: 448, member: 20"] [HEADING=1]Ruvu Shooting Inautaka Ubingwa Ligi Kuu.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/Ruvu-Shooting-2.jpg[/IMG] UONGOZI wa Ruvu Shooting, umebainisha kuwa lengo lao kuu ni kufanikisha timu yao inatwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu wa 2021/22. Timu hiyo ambayo kabla ya mechi za jana Jumatatu ilikuwa nafasi ya 14 kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara, Januari 20, mwaka huu itacheza dhidi ya Mbeya City kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya. Akizungumza na Spoti Xtra, Mkuu wa Kitengo cha Habari, Ruvu Shooting, Masau Bwire, alisema kuwa jambo la kwanza wanalohitaji msimu huu ni kuchukua ubingwa. “Uongozi, benchi la ufundi pamoja na wachezaji wanafahamu umuhimu wa kufanikisha malengo ya klabu japo tulipitia changamoto ya kuondoka kwa wawekezaji na wachezaji tisa, lakini hiyo haitokuwa sababu ya kuifanya timu isifike hatua tunayohitaji kwa sababu nafasi hiyo ina fursa kubwa na nyingi zaidi kuliko nafasi zingine zote kwenye msimamo,” alisema Bwire. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom