Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Wababe wa Simba Mzigoni tena Leo.

LIGI Kuu Tanzania Bara bado inaendelea na leo Januari 20 kutakuwa na mchezo mmoja kwa timu kusaka pointi tatu muhimu.

Mbeya City ambayo imetoka kutibua rekodi za Simba kwa kuwatungua kwenye mchezo uliopita Januari 17 kwa bao 1-0 leo itamenyana na Ruvu Shooting.

Mbeya City iliweza kusepa na pointi tatu mazima kwa ushindi huo na bao pekee lilifungwa na Paul Nonga ilikuwa dakika ya 19.

Inakutana na Ruvu Shooting wazee wa mpapaso wakiwa wametoka kulazimisha sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye mchezo wao wa ligi uliopita, Uwanja wa Mabatini.

Kwenye msimamo wa ligi Mbeya City imejijimbia nafasi ya tatu ikiwa na pointi 19 inakutana na Ruvu Shooting iliyo nafasi ya 14 na pointi 11.

[QUOTE="Amir, post: 466, member: 20"] [HEADING=1]Wababe wa Simba Mzigoni tena Leo.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/MBEYA-CITY-1.jpg[/IMG] LIGI Kuu Tanzania Bara bado inaendelea na leo Januari 20 kutakuwa na mchezo mmoja kwa timu kusaka pointi tatu muhimu. Mbeya City ambayo imetoka kutibua rekodi za Simba kwa kuwatungua kwenye mchezo uliopita Januari 17 kwa bao 1-0 leo itamenyana na Ruvu Shooting. Mbeya City iliweza kusepa na pointi tatu mazima kwa ushindi huo na bao pekee lilifungwa na Paul Nonga ilikuwa dakika ya 19. Inakutana na Ruvu Shooting wazee wa mpapaso wakiwa wametoka kulazimisha sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye mchezo wao wa ligi uliopita, Uwanja wa Mabatini. Kwenye msimamo wa ligi Mbeya City imejijimbia nafasi ya tatu ikiwa na pointi 19 inakutana na Ruvu Shooting iliyo nafasi ya 14 na pointi 11. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom