Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

MBEYA CITY YAIPIGA RUVU, SASA YAIPUMULIA SIMBA.

TIMU ya Mbeya City imeendeleza wimbi la ushindi nyumbani katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuichapa Ruvu Shooting 1-0 jioni ya leo Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya.

Bao pekee la ‘Wana Koma Kumwanya’ leo limefungwa na Aziz Andambwile dakika ya 54 na kwa ushindi huo MCC wanafikisha pointi 22 katika mchezo wa 13 na kusogea nafasi ya tatu, wakizidiwa pointi mbili tu na mabingwa watetezi, Simba SC ambao hata hivyo wana mechi mbili mkononi.

Ruvu Shooing kwa upande wao baada ya kipigo cha leo wanabaki na pointi zao 11 za mechi 13 pia katika nafasi ya 14.

[QUOTE="mhariri, post: 471, member: 122"] [HEADING=2]MBEYA CITY YAIPIGA RUVU, SASA YAIPUMULIA SIMBA.[/HEADING] [IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEhLkE1mBkBFp6KpFIxDiSHueCohrKhDc8mZ3OHCgn3yIl7blXWHv2RwGrskeA-GQ37TwePevht-okx4ugljsFFztQmM6H1TKSxxHYuiM8fxj8YotwXmJR6rfWz648Y1zhlqGr1TpuYbdQdKu5HbW7e09azCWSDww6Eyid8YeXYQLIYJ2FLohBsEQyUy=w640-h428[/IMG] TIMU ya Mbeya City imeendeleza wimbi la ushindi nyumbani katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuichapa Ruvu Shooting 1-0 jioni ya leo Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya. Bao pekee la ‘Wana Koma Kumwanya’ leo limefungwa na Aziz Andambwile dakika ya 54 na kwa ushindi huo MCC wanafikisha pointi 22 katika mchezo wa 13 na kusogea nafasi ya tatu, wakizidiwa pointi mbili tu na mabingwa watetezi, Simba SC ambao hata hivyo wana mechi mbili mkononi. Ruvu Shooing kwa upande wao baada ya kipigo cha leo wanabaki na pointi zao 11 za mechi 13 pia katika nafasi ya 14. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom