Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Mtibwa Yawaita Simba Manungu Tuliani.

THOBIAS Kifaru, Ofisa Habari wa Mtibwa Sugar amesema kuwa Simba wasiwe na mashaka kwa kuwa wanachokitaka wao ni mchezo huo uchezwe Uwanja wa Manungu.

Kesho, Januari 22 unatarajiwa kuchezwa mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Mtibwa Sugar v Simba katika Uwanja wa Manungu.

Habari zinaeleza kuwa Simba wamewaeleza bodi kuwa wao wana mashabiki wengi jambo litakalokuwa tofauti kwao kutokana na uwanja huo kuwa na uwezo wa kubeba mashabi wachache.

Uwezo wa Uwanja wa Manungu ni kuingiza mashabiki 2,500 jambo ambalo limekuwa likileta mvutano kwa upande wa Simba.

Tayari kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu,Pablo Franco kimewasili Morogoro kwa maandalizi ya mchezo huo unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa.

Kifaru amesema:”Tunataka kuona mchezo unachezwa kwenye uwanja wetu wa Manungu hivyo hakuna haja ya kuwa na mashaka tupo tayari na uwanja wetu ni mzuri, Simba wasiwe na wasiwasi,”.

[QUOTE="Amir, post: 481, member: 20"] [HEADING=1]Mtibwa Yawaita Simba Manungu Tuliani.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/SIMBA-3-1.jpg[/IMG] THOBIAS Kifaru, Ofisa Habari wa Mtibwa Sugar amesema kuwa Simba wasiwe na mashaka kwa kuwa wanachokitaka wao ni mchezo huo uchezwe Uwanja wa Manungu. Kesho, Januari 22 unatarajiwa kuchezwa mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Mtibwa Sugar v Simba katika Uwanja wa Manungu. Habari zinaeleza kuwa Simba wamewaeleza bodi kuwa wao wana mashabiki wengi jambo litakalokuwa tofauti kwao kutokana na uwanja huo kuwa na uwezo wa kubeba mashabi wachache. Uwezo wa Uwanja wa Manungu ni kuingiza mashabiki 2,500 jambo ambalo limekuwa likileta mvutano kwa upande wa Simba. Tayari kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu,Pablo Franco kimewasili Morogoro kwa maandalizi ya mchezo huo unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Kifaru amesema:”Tunataka kuona mchezo unachezwa kwenye uwanja wetu wa Manungu hivyo hakuna haja ya kuwa na mashaka tupo tayari na uwanja wetu ni mzuri, Simba wasiwe na wasiwasi,”. [HR][/HR] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom