Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Yanga Wampigia Simu Muuaji wa Simba SC.

MSHAMBULIAJI wa Mbeya City, Paul Nonga, amefichua kuwa kitendo cha kufanikiwa kuwafunga Simba katika mchezo wa Ligi Kuu Bara, kimesababisha apokee simu nyingi za pongezi, zikiwemo za baadhi ya watu wa Yanga.

Nonga, ambaye pia aliwahi kuchezea Yanga, bao lake la Jumatatu iliyopita katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba, lilitosha kumchinja Mnyama na kuipa Mbeya City ushindi wa bao 1-0. Hiyo ilikuwa ni mara ya kwanza Simba wanafungwa kwenye ligi msimu huu.

Akizungumza na Championi Ijumaa, Nonga alisema baada ya mchezo huo, alipokea simu nyingi za pongezi kutoka kwa wadau mbalimbali wa timu hiyo wakiwemo watu wa Yanga ambao wamekuwa ni mahasimu wakubwa wa Simba katika Ligi Kuu Bara.

“Kitu kikubwa ambacho kilitokea baada ya matokeo ya ushindi dhidi ya Simba, ni kwamba nilipokea simu nyingi za pongezi kutoka kwa wadau mbalimbali wa Mbeya City, kwa sababu tulijiandaa kupata matokeo ingawa sikupokea simu za wadau wa Mbeya City peke yake, kwani hata watu wa Yanga wapo wengi ambao walinipigia simu za pongezi kutokana na ushindi ambao tuliupata.

“Unajua Yanga na Simba ni mahasimu halafu inakuwa ni kawaida ikitokea Simba au Yanga ikifungwa na hizi timu nyingine, mashabiki kuchekana na kwangu ilikuwa hivyo kwa kuwa kwao wao ni jambo la kawaida halafu ndiyo maisha ya soka jinsi yanavyokwenda wakati wote ila jambo kubwa kwa sasa tunaangalia mechi nyingine ambazo zipo mbele yetu,” alisema Nonga.

[QUOTE="vuligate, post: 492, member: 123"] [HEADING=1]Yanga Wampigia Simu Muuaji wa Simba SC.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/NONGA.jpg[/IMG] MSHAMBULIAJI wa Mbeya City, Paul Nonga, amefichua kuwa kitendo cha kufanikiwa kuwafunga Simba katika mchezo wa Ligi Kuu Bara, kimesababisha apokee simu nyingi za pongezi, zikiwemo za baadhi ya watu wa Yanga. Nonga, ambaye pia aliwahi kuchezea Yanga, bao lake la Jumatatu iliyopita katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba, lilitosha kumchinja Mnyama na kuipa Mbeya City ushindi wa bao 1-0. Hiyo ilikuwa ni mara ya kwanza Simba wanafungwa kwenye ligi msimu huu. Akizungumza na Championi Ijumaa, Nonga alisema baada ya mchezo huo, alipokea simu nyingi za pongezi kutoka kwa wadau mbalimbali wa timu hiyo wakiwemo watu wa Yanga ambao wamekuwa ni mahasimu wakubwa wa Simba katika Ligi Kuu Bara. [I]“Kitu kikubwa ambacho kilitokea baada ya matokeo ya ushindi dhidi ya Simba, ni kwamba nilipokea simu nyingi za pongezi kutoka kwa wadau mbalimbali wa Mbeya City, kwa sababu tulijiandaa kupata matokeo ingawa sikupokea simu za wadau wa Mbeya City peke yake, kwani hata watu wa Yanga wapo wengi ambao walinipigia simu za pongezi kutokana na ushindi ambao tuliupata. “Unajua Yanga na Simba ni mahasimu halafu inakuwa ni kawaida ikitokea Simba au Yanga ikifungwa na hizi timu nyingine, mashabiki kuchekana na kwangu ilikuwa hivyo kwa kuwa kwao wao ni jambo la kawaida halafu ndiyo maisha ya soka jinsi yanavyokwenda wakati wote ila jambo kubwa kwa sasa tunaangalia mechi nyingine ambazo zipo mbele yetu,”[/I] alisema Nonga. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom