Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Beki wa Kazi Prisons Kuikosa Azam FC.

BEKI wa kazi ndani ya kikosi cha Tanzania Prisons, Salum Kimenya hatakuwa sehemu ya kikosi kitachomenyana na Azam FC leo Uwanja wa Nelson Mandela kutokana na kusumbuliwa na majeraha.

Kimenya ataukosa mchezo huo kutokana na kusumbuliwa na maumivu ya nyama za paja.

Akizungumza na Championi Jumamosi, Kimenya alisema: “Sipo sawa kwa sasa kwa kuwa ninasumbuliwa na nyama za paja, lakini ambacho ninashukuru Mungu ni kwamba ninaendelea vizuri na nimeanza mazoezi mepesi.”

Prisons ikiwa imecheza jumla ya mechi 12 na kukusanya pointi 11 ikiwa nafasi ya 13, Kimenya ameanza kikosi cha kwanza kwenye mechi saba.

[QUOTE="Amir, post: 526, member: 20"] [HEADING=1]Beki wa Kazi Prisons Kuikosa Azam FC.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/kiemnya.jpg[/IMG] BEKI wa kazi ndani ya kikosi cha Tanzania Prisons, Salum Kimenya hatakuwa sehemu ya kikosi kitachomenyana na Azam FC leo Uwanja wa Nelson Mandela kutokana na kusumbuliwa na majeraha. Kimenya ataukosa mchezo huo kutokana na kusumbuliwa na maumivu ya nyama za paja. Akizungumza na Championi Jumamosi, Kimenya alisema: “Sipo sawa kwa sasa kwa kuwa ninasumbuliwa na nyama za paja, lakini ambacho ninashukuru Mungu ni kwamba ninaendelea vizuri na nimeanza mazoezi mepesi.” Prisons ikiwa imecheza jumla ya mechi 12 na kukusanya pointi 11 ikiwa nafasi ya 13, Kimenya ameanza kikosi cha kwanza kwenye mechi saba. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom