Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Abdi Banda Aomba Radhi.

Beki wa Mtibwa Sugar, Abdi Banda amewaomba radhi wadau wa soka nchini Tanzania kufuatia kauli aliyoitoa dhidi ya wachezaji wa Simba SC.

Banda alitoa kauli ya kuwakejeli kwa wachezaji wa Simba SC, baada ya mchezo wa Ligi Kuu uliopigwa Manungu Complex Jumamosi (Januari 22) na timu hizo kwenda sare ya 0-0.

Beki huyo ambaye amewahi kucheza soka Afrika Kusini kabla ya kurejea nchini msimu huu 2021/22, ameomba radhi kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram.

“Tuanze wiki mpya yaliyopita si ndwele tugange yajayo. Huenda niliwaudhi au kuwakera wengi kila mmoja kwa nafasi yake naomba mnisamehe sana.

“Kwenye mpira au kwenye mchezo wowote kuna maneno ya kejeli na dharau kwa mpinzani wako au hata mchezaji mwenzako lakini hamaanishi kuna uhasama kama wengi walivyopokea maneno yangu. Michezo ni furaha na ajira basi tusichukulie kila kitu personal/serious sana.

“Naomba mnisamehe sana maana kila mtu ana upokeaji wake na tafsiri yake. Sikuwa na lengo la kumbagua Henock Inonga au wachezaji wengine wa Simba SC. Tusahau yaliyopita, tupo kwa ajili ya kujenga na kuutangaza mpira wetu na sio chuki wala ubaguzi wowote hasa kwa wachezaji wanaokuja kucheza hapa kwetu,” amesema Banda.

[QUOTE="Amir, post: 556, member: 20"] [HEADING=1]Abdi Banda Aomba Radhi.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/Abdi-Banda.jpg[/IMG] Beki wa [B]Mtibwa Sugar[/B],[B] Abdi Banda[/B] amewaomba radhi wadau wa soka nchini Tanzania kufuatia kauli aliyoitoa dhidi ya wachezaji wa [B]Simba SC.[/B] Banda alitoa kauli ya kuwakejeli kwa wachezaji wa Simba SC, baada ya mchezo wa Ligi Kuu uliopigwa Manungu Complex Jumamosi (Januari 22) na timu hizo kwenda sare ya 0-0. Beki huyo ambaye amewahi kucheza soka Afrika Kusini kabla ya kurejea nchini msimu huu 2021/22, ameomba radhi kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram. “Tuanze wiki mpya yaliyopita si ndwele tugange yajayo. Huenda niliwaudhi au kuwakera wengi kila mmoja kwa nafasi yake naomba mnisamehe sana. “Kwenye mpira au kwenye mchezo wowote kuna maneno ya kejeli na dharau kwa mpinzani wako au hata mchezaji mwenzako lakini hamaanishi kuna uhasama kama wengi walivyopokea maneno yangu. Michezo ni furaha na ajira basi tusichukulie kila kitu personal/serious sana. “Naomba mnisamehe sana maana kila mtu ana upokeaji wake na tafsiri yake. Sikuwa na lengo la kumbagua [B]Henock Inonga[/B] au wachezaji wengine wa [B]Simba SC.[/B] Tusahau yaliyopita, tupo kwa ajili ya kujenga na kuutangaza mpira wetu na sio chuki wala ubaguzi wowote hasa kwa wachezaji wanaokuja kucheza hapa kwetu,” amesema Banda. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom