Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Simba Kukiwasha na Kagera Sugar Kaitaba Leo.

UONGOZI wa Simba umesema kuwa wana furaha kubwa kwenda kucheza Bukoba kwenye uwanja wa kisasa

na wenye hadhi yao dhidi ya Kagera Sugar.

Timu hizo leo Jumatano zinatarajiwa kuvaana katika mchezo wa Ligi Kuu Bara majira saa 10:00 jioni kwenye Uwanja wa Kaitaba uliopo Bukoba mkoani Kagera.

Uwanja wa Kaitaba wenye nyasi bandia, ni kama ule wa Simba wanaoutumia katika mazoezi yao uitwao Simba Mo Arena uliopo Bunju, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.

Akizungumza na Championi Jumatano, Ofisa Habari wa Simba, Ahmed Ally, alisema kuwa kiwanja hicho kitawapa fursa wachezaji kuonesha kiwango bora ambacho Wanasimba wanakitaka.

Ally alisema kuwa maandalizi ya mchezo huo yamekamilika kwa asilimia mia moja baada ya jana asubuhi kusafiri kwa ndege kuelekea Bukoba tayari kwa mchezo huo.

“Kikubwa tunachofura– hia ni kwamba tunawenda Bukoba kucheza katika kiwanja chenye hadhi yetu, kiwanja ambacho kinawapa fursa wachezaji wetu kuonesha ubora wao.

“Hakuna asiyefahamu uwezo wa wachezaji wetu walioipa ubingwa wa ligi kwa miaka minne mfululizo siyo kitu kidogo.

[QUOTE="Amir, post: 565, member: 20"] [HEADING=1]Simba Kukiwasha na Kagera Sugar Kaitaba Leo.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/SIMBA-2-4.jpg[/IMG] UONGOZI wa Simba umesema kuwa wana furaha kubwa kwenda kucheza Bukoba kwenye uwanja wa kisasa na wenye hadhi yao dhidi ya Kagera Sugar. Timu hizo leo Jumatano zinatarajiwa kuvaana katika mchezo wa Ligi Kuu Bara majira saa 10:00 jioni kwenye Uwanja wa Kaitaba uliopo Bukoba mkoani Kagera. Uwanja wa Kaitaba wenye nyasi bandia, ni kama ule wa Simba wanaoutumia katika mazoezi yao uitwao Simba Mo Arena uliopo Bunju, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/SIMBA-11.jpg[/IMG] Akizungumza na Championi Jumatano, Ofisa Habari wa Simba, Ahmed Ally, alisema kuwa kiwanja hicho kitawapa fursa wachezaji kuonesha kiwango bora ambacho Wanasimba wanakitaka. Ally alisema kuwa maandalizi ya mchezo huo yamekamilika kwa asilimia mia moja baada ya jana asubuhi kusafiri kwa ndege kuelekea Bukoba tayari kwa mchezo huo. [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/SIMBA-1-4.jpg[/IMG] “Kikubwa tunachofura– hia ni kwamba tunawenda Bukoba kucheza katika kiwanja chenye hadhi yetu, kiwanja ambacho kinawapa fursa wachezaji wetu kuonesha ubora wao. “Hakuna asiyefahamu uwezo wa wachezaji wetu walioipa ubingwa wa ligi kwa miaka minne mfululizo siyo kitu kidogo. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom