Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Simba Yanyooshwa na Kagera Kaitaba, Kiiza Atupia.

Uwanja wa Kaitaba dakika 90 zimekamilika mbinu ya Pablo Franco imekwama mbele ya Kagera Sugar.

Ni Hamis Kiiza dakika ya 70 aliwatungua Simba baada ya safu ya ulinzi kufanya makosa katika kuokoa shambulizi la kushtukiza.

Hakuna sababu nyingine kwa Franco ambaye alikuwa kwenye uwanja mzuri wa kapeti wa Kaitaba kakwama kushinda ugenini.

Simba inabaki na pointi zake 25 ikiwa imecheza mechi 13 na vinara ni Yanga wenye pointi 35.

Kiiza alionyeshwa kadi nyekundu baada ya kuonyeshwa kadi mbili za njano Ikumbukwe kwamba Kiiza amewahi kucheza ndani ya Simba na kwa sasa ni ingizo jipya ndani ya Kagera Sugar.

Huu ni mchezo wa pili kwa Simba kupoteza baada ya ule wa kwanza kuwa mbele ya Mbeya City na bao walilofungwa ni moja.

Hakuna kiporo kwa sasa na ni tofauti ya pointi 10 kati ya Simba na Yanga ambao ni vinara wa ligi.

[QUOTE="Amir, post: 573, member: 20"] [HEADING=1]Simba Yanyooshwa na Kagera Kaitaba, Kiiza Atupia.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/kagerasugarfcofficial_272660469_348790176842291_3175460259108721405_n.jpg[/IMG] Uwanja wa Kaitaba dakika 90 zimekamilika mbinu ya Pablo Franco imekwama mbele ya Kagera Sugar. Ni Hamis Kiiza dakika ya 70 aliwatungua Simba baada ya safu ya ulinzi kufanya makosa katika kuokoa shambulizi la kushtukiza. Hakuna sababu nyingine kwa Franco ambaye alikuwa kwenye uwanja mzuri wa kapeti wa Kaitaba kakwama kushinda ugenini. Simba inabaki na pointi zake 25 ikiwa imecheza mechi 13 na vinara ni Yanga wenye pointi 35. Kiiza alionyeshwa kadi nyekundu baada ya kuonyeshwa kadi mbili za njano Ikumbukwe kwamba Kiiza amewahi kucheza ndani ya Simba na kwa sasa ni ingizo jipya ndani ya Kagera Sugar. Huu ni mchezo wa pili kwa Simba kupoteza baada ya ule wa kwanza kuwa mbele ya Mbeya City na bao walilofungwa ni moja. Hakuna kiporo kwa sasa na ni tofauti ya pointi 10 kati ya Simba na Yanga ambao ni vinara wa ligi. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom