Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

KIIZA ATOKEA BENCHI KUIUA SIMBA KAITABA.

MSHAMBULIAJI mkongwe wa kimataifa wa Uganda, Hamisi Kiiza ‘Diego’ ametokea benchi kuifungia bao pekee Kagera Sugar ikiibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya mabingwa watetezi, Simba SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba mkoani Kagera.

Kiiza aliingia dakika 56 kuchukua nafasi ya Ally Ramadhani na akafunga bao hilo dakika ya 70 akimalizia pasi nzuri ya Ally Nassor ‘Ufudu’, kabla ya Mganda huyo kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 90 kufuatia kuonyeshwa kadi ya pili ya njano.

Kagera Sugar inafikisha pointi 17 na kupanda hadi nafasi ya nane, wakati Simba inabaki na pointi zake 25 katika nafasi ya pili, ikizidiwa pointi 10 na vinara, Yanga SC baada ya timu zote kucheza mechi 13 za msimu.

[QUOTE="Amir, post: 574, member: 20"] [HEADING=2]KIIZA ATOKEA BENCHI KUIUA SIMBA KAITABA.[/HEADING] [IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEgYSUf05o3K8lRqZrna6CoTCsceoFQsitnKdHVKpS1BgCc8qs5TV4x5a5V7Om5j88LnMTN3nqSBFknIbjNtZSxruLKy8B7vTKOS9IGkxWL9tUqCuEmaiGSTCAVuq7WWZFE6zZpw3JcQSjG82gt6y7vp3xUO3bKLk7mLLIFaEWI8KUm3Wv4iaBYpn3DO=w640-h640[/IMG] MSHAMBULIAJI mkongwe wa kimataifa wa Uganda, Hamisi Kiiza ‘Diego’ ametokea benchi kuifungia bao pekee Kagera Sugar ikiibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya mabingwa watetezi, Simba SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba mkoani Kagera. Kiiza aliingia dakika 56 kuchukua nafasi ya Ally Ramadhani na akafunga bao hilo dakika ya 70 akimalizia pasi nzuri ya Ally Nassor ‘Ufudu’, kabla ya Mganda huyo kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 90 kufuatia kuonyeshwa kadi ya pili ya njano. Kagera Sugar inafikisha pointi 17 na kupanda hadi nafasi ya nane, wakati Simba inabaki na pointi zake 25 katika nafasi ya pili, ikizidiwa pointi 10 na vinara, Yanga SC baada ya timu zote kucheza mechi 13 za msimu. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom