Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Kizza: Inonga, Onyango ni Mabeki Bora.

Baada ya kupeleka msiba mzito katika mitaa ya msimbazi, mshambuliaji wa kimataifa kutoka nchini Burundi Hamis Kizza anayekipiga katika klabu ya Kagera Sugar amefunguka mambo mazito juu ya walinzi wa klabu ya Simba Sc Hennock Inonga pamoja na Joash Onyango.

Hamis Kizza alikua ni nyota wa mchezo wa jana ambao Kagera Sugar walipata ushindi wa goli moja kwa sifuri dhidi ya klabu ya Simba Sc katika dimba la Kaitaba. Kizza ndiye aliyetenganisha matokeo katika mchezo huo baada ya kufunga goli safi na pekee kwa upande wa Kagera Sugar ambao walikua katika uwanja wao wa nyumbani.

Baada ya mchezo huo kumalizika Hamis Kizza alipata nafasi ya kufanya mahojiano na waandishi wa ambao walijitokeza kushuhudia mchezo huo ambao ulikua ni mgumu kwa timu zote mbili. Kizza katika mazungumzo yake aligusia uwezo na kiwango cha walinzi wa klabu ya Simba Sc ambao ni Inonga na Onyango.

Kizza ameweka wazi kwamba walinzi hao ni wachezaji wazuri na imara sana licha ya kwamba alifanikiwa kufunga goli moja dhidi yao. Kizza amesema kwamba alitumia akili nyingi kuwatoroka kabla ya kufunga goli lake lakini hii haifanyi kuona kwamba Inonga na Onyango ni wachezaji wa kawaida sana.

Kizza ni mchezaji mkongwe ndani ya ligi kuu Tanzania bara ambapo miaka kadhaa ya nyuma nyota huyu aliwahi kupita katika vilabu vya Simba Sc na Yanga katika nyakati tofauti tofauti. Kizza kwa bahati nzuri sana ameweza kucheza kwa mafanikio makubwa sana akiwa na timu zote mbili na hivyo basi mashabiki wa Simba Sc na Yanga wamekua na kumbukumbu nzuri juu ya nyota huyu.

Kizza ni mshambuliaji hatari sana na mpaka sasa akiwa na Kagera Sugar tayari amefunga magoli mawili ikiwa ndio kwanza amejiunga na timu hii siku chache zilizopita. Kagera Sugar wamepata mshambuliaji mzuri na hatari sana ambaye anaweza kuwasaidia kufanya vizuri msimu huu ikiwa ni pamoja na kumaliza katika nafasi za juu katika msimamo wa NBC Premier League.

[QUOTE="Amir, post: 596, member: 20"] [HEADING=1]Kizza: Inonga, Onyango ni Mabeki Bora.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/kizza.jpg[/IMG] Baada ya kupeleka msiba mzito katika mitaa ya msimbazi, mshambuliaji wa kimataifa kutoka nchini Burundi Hamis Kizza anayekipiga katika klabu ya Kagera Sugar amefunguka mambo mazito juu ya walinzi wa klabu ya Simba Sc Hennock Inonga pamoja na Joash Onyango. Hamis Kizza alikua ni nyota wa mchezo wa jana ambao Kagera Sugar walipata ushindi wa goli moja kwa sifuri dhidi ya klabu ya Simba Sc katika dimba la Kaitaba. Kizza ndiye aliyetenganisha matokeo katika mchezo huo baada ya kufunga goli safi na pekee kwa upande wa Kagera Sugar ambao walikua katika uwanja wao wa nyumbani. Baada ya mchezo huo kumalizika Hamis Kizza alipata nafasi ya kufanya mahojiano na waandishi wa ambao walijitokeza kushuhudia mchezo huo ambao ulikua ni mgumu kwa timu zote mbili. Kizza katika mazungumzo yake aligusia uwezo na kiwango cha walinzi wa klabu ya Simba Sc ambao ni Inonga na Onyango. Kizza ameweka wazi kwamba walinzi hao ni wachezaji wazuri na imara sana licha ya kwamba alifanikiwa kufunga goli moja dhidi yao. Kizza amesema kwamba alitumia akili nyingi kuwatoroka kabla ya kufunga goli lake lakini hii haifanyi kuona kwamba Inonga na Onyango ni wachezaji wa kawaida sana. Kizza ni mchezaji mkongwe ndani ya ligi kuu Tanzania bara ambapo miaka kadhaa ya nyuma nyota huyu aliwahi kupita katika vilabu vya Simba Sc na Yanga katika nyakati tofauti tofauti. Kizza kwa bahati nzuri sana ameweza kucheza kwa mafanikio makubwa sana akiwa na timu zote mbili na hivyo basi mashabiki wa Simba Sc na Yanga wamekua na kumbukumbu nzuri juu ya nyota huyu. Kizza ni mshambuliaji hatari sana na mpaka sasa akiwa na Kagera Sugar tayari amefunga magoli mawili ikiwa ndio kwanza amejiunga na timu hii siku chache zilizopita. Kagera Sugar wamepata mshambuliaji mzuri na hatari sana ambaye anaweza kuwasaidia kufanya vizuri msimu huu ikiwa ni pamoja na kumaliza katika nafasi za juu katika msimamo wa NBC Premier League. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom