Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Mtibwa Sugar: Yanga Wanaletwa Manungu.

OFISA Habari wa Mtibwa Sugar, Thobias Kifaru ameweka wazi kwamba hawafikirii kuacha kuutumia Uwanja wa Manungu kwa wakati huu kwenye mechi za Ligi Kuu Bara ambazo zipo mbele yao ikiwa ni pamoja na ile dhidi ya Yanga.

Akizungumza na Championi Jumamosi, Kifaru alisema kuwa uwekezaji ambao wameufanya unawapa nguvu ya kutumia uwanja wao bora ambao upo kwenye viunga vya miwa Morogoro.

“Sisi tumefanya uwekezaji bora na imara na mashabiki wa Mtibwa Sugar wanatambua kwamba tupo imara na baada ya Simba kucheza Uwanja wa Manungu hata Yanga nao tutawaleta hapa.

“Hatufikirii kuondoka hapa zaidi ya kuendelea kuuboresha uwanja wetu, hatujiendeshi kwa kutegemea mapato ya uwanjani bali uwezo upo na tupo imara,” alisema.

Mtibwa Sugar ipo nafasi ya 13 ikiwa imekusanya pointi 12 baada ya kucheza mechi 13 na safu yake ya ushambuliaji imefunga mabao saba. Walipocheza na Simba uwanjani hapo walitoshana nguvu ya bila kufungana.

[QUOTE="vuligate, post: 627, member: 123"] [HEADING=1]Mtibwa Sugar: Yanga Wanaletwa Manungu.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/yanga-7.jpeg[/IMG] OFISA Habari wa Mtibwa Sugar, Thobias Kifaru ameweka wazi kwamba hawafikirii kuacha kuutumia Uwanja wa Manungu kwa wakati huu kwenye mechi za Ligi Kuu Bara ambazo zipo mbele yao ikiwa ni pamoja na ile dhidi ya Yanga. Akizungumza na Championi Jumamosi, Kifaru alisema kuwa uwekezaji ambao wameufanya unawapa nguvu ya kutumia uwanja wao bora ambao upo kwenye viunga vya miwa Morogoro. “Sisi tumefanya uwekezaji bora na imara na mashabiki wa Mtibwa Sugar wanatambua kwamba tupo imara na baada ya Simba kucheza Uwanja wa Manungu hata Yanga nao tutawaleta hapa. “Hatufikirii kuondoka hapa zaidi ya kuendelea kuuboresha uwanja wetu, hatujiendeshi kwa kutegemea mapato ya uwanjani bali uwezo upo na tupo imara,” alisema. Mtibwa Sugar ipo nafasi ya 13 ikiwa imekusanya pointi 12 baada ya kucheza mechi 13 na safu yake ya ushambuliaji imefunga mabao saba. Walipocheza na Simba uwanjani hapo walitoshana nguvu ya bila kufungana. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom