Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Prisons: Tupo Tayari Kuwakabili Simba.

KOCHA Msaidizi wa Tanzania Prisons, Shaban Kazumba, amebainisha kuwa kwa sasa wamewekeza nguvu na umakini kwenye mchezo unaofuata dhidi ya Simba ili kuhakikisha wanapata ushindi na kujitoa kwenye nafasi ya mwisho ya msimamo wa Ligi Kuu Bara.

Mchezo huo wa ligi unatarajiwa kupigwa Februari 3, mwaka huu ambapo Prisons watakua wageni wa

Simba kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

Akizungumza na Spoti Xtra, Kazumba alisema: “Baada ya kupata ushindi kwenye mchezo wetu wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Rhino Rangers, wachezaji wamefanikiwa kurudisha morali yao kwa sababu tulikuwa na mwenendo usioridhisha kwenye michezo iliyopita ya ligi.

“Simba ni timu nzuri, tunawaheshimu lakini na sisi pia tuna kikosi bora, tutahakikisha tunawapa ushidani, matokeo yatajiweka wazi ndani ya dakika 90.”

[QUOTE="vuligate, post: 674, member: 123"] [HEADING=1]Prisons: Tupo Tayari Kuwakabili Simba.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/prisons-1.jpg[/IMG] KOCHA Msaidizi wa Tanzania Prisons, Shaban Kazumba, amebainisha kuwa kwa sasa wamewekeza nguvu na umakini kwenye mchezo unaofuata dhidi ya Simba ili kuhakikisha wanapata ushindi na kujitoa kwenye nafasi ya mwisho ya msimamo wa Ligi Kuu Bara. Mchezo huo wa ligi unatarajiwa kupigwa Februari 3, mwaka huu ambapo Prisons watakua wageni wa Simba kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/prisons-2.jpg[/IMG] Akizungumza na Spoti Xtra, Kazumba alisema: “Baada ya kupata ushindi kwenye mchezo wetu wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Rhino Rangers, wachezaji wamefanikiwa kurudisha morali yao kwa sababu tulikuwa na mwenendo usioridhisha kwenye michezo iliyopita ya ligi. “Simba ni timu nzuri, tunawaheshimu lakini na sisi pia tuna kikosi bora, tutahakikisha tunawapa ushidani, matokeo yatajiweka wazi ndani ya dakika 90.” [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom