Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Simba? Wanafungika mbona.

KOCHA Mkuu wa Tanzania Prisons, Patrick Odhiambo amesema vipigo walivyopata katika mechi mbili mfululizo vinatosha na sasa shughuli inahamia dhidi ya Simba kuhakikisha wanafanya kweli, huku akiwataka matraika wake kubadilika.

Odhiambo alitua kwa ‘Wajelajela’ hao hivi karibuni akichukua mikoba ya Salum Mayanga aliyejiunga na Mtibwa Sugar na katika mechi mbili alizosimamia zote amekumbana na vichapo huku wakifungwa jumla ya mabao 6-0.

Timu hiyo inatarajia kuwa kibaruani kuwakabili Wekundu wa Msimbazi, Februari 6 kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam ukiwa wa raundi ya 14 kwa timu hizo.

Hata hivyo, timu hizo zinakutana huku kila upande ukiuguza majeraha ya kupoteza mechi iliyopita, baada ya Simba kulala 1-0 dhidi ya Kagera Sugar huku Prisons wakila kisago cha mabao 4-0 mbele ya Azam.

Odhiambo aliliambia Mwanaspoti kuwa matokeo waliyopata katika mechi mbili nyumbani hayakuwa mazuri, hivyo mchezo ujao na Simba lazima kieleleweke.

Alisema makosa yaliyofanywa na vijana wake haswa sehemu ya kipa na ushambuliaji ameifanyia kazi huku akiwataka washambuliaji kuwa makini katika kumalizia mipira ya mwisho.

“Siyo matokeo mazuri, lakini nimeona wapi tuliteleza na nimefanyia kazi tangu mechi na Azam, kwa sasa tunajipanga kumalizia hasira kwa Simba, naamini tutarejesha furaha kwa mashabiki,” alisema Odhiambo.

Straika na kinara wa mabao kikosini humo, Jeremia Juma alisema licha ya kwamba mchezo huo utakuwa mgumu, lakini lolote linaweza kutokea.

“Tumepoteza mechi mbili lakini si kwamba hatuwezi kushinda mchezo unaofuata, dhidi ya Simba, tunafahamu ugumu wake ila lolote linawezekana na hii ni ligi, tunaenda kwa umakini na tahadhari,” alisema Juma.

[QUOTE="Amir, post: 677, member: 20"] [HEADING=1]Simba? Wanafungika mbona.[/HEADING] [IMG alt="FUNGIKA PIC"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/blob/3701792/7878044bc08a4ec4afb39212e22cb7ac/fungika-pic-data.jpg[/IMG] KOCHA Mkuu wa Tanzania Prisons, Patrick Odhiambo amesema vipigo walivyopata katika mechi mbili mfululizo vinatosha na sasa shughuli inahamia dhidi ya Simba kuhakikisha wanafanya kweli, huku akiwataka matraika wake kubadilika. Odhiambo alitua kwa ‘Wajelajela’ hao hivi karibuni akichukua mikoba ya Salum Mayanga aliyejiunga na Mtibwa Sugar na katika mechi mbili alizosimamia zote amekumbana na vichapo huku wakifungwa jumla ya mabao 6-0. Timu hiyo inatarajia kuwa kibaruani kuwakabili Wekundu wa Msimbazi, Februari 6 kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam ukiwa wa raundi ya 14 kwa timu hizo. Hata hivyo, timu hizo zinakutana huku kila upande ukiuguza majeraha ya kupoteza mechi iliyopita, baada ya Simba kulala 1-0 dhidi ya Kagera Sugar huku Prisons wakila kisago cha mabao 4-0 mbele ya Azam. Odhiambo aliliambia Mwanaspoti kuwa matokeo waliyopata katika mechi mbili nyumbani hayakuwa mazuri, hivyo mchezo ujao na Simba lazima kieleleweke. Alisema makosa yaliyofanywa na vijana wake haswa sehemu ya kipa na ushambuliaji ameifanyia kazi huku akiwataka washambuliaji kuwa makini katika kumalizia mipira ya mwisho. “Siyo matokeo mazuri, lakini nimeona wapi tuliteleza na nimefanyia kazi tangu mechi na Azam, kwa sasa tunajipanga kumalizia hasira kwa Simba, naamini tutarejesha furaha kwa mashabiki,” alisema Odhiambo. Straika na kinara wa mabao kikosini humo, Jeremia Juma alisema licha ya kwamba mchezo huo utakuwa mgumu, lakini lolote linaweza kutokea. “Tumepoteza mechi mbili lakini si kwamba hatuwezi kushinda mchezo unaofuata, dhidi ya Simba, tunafahamu ugumu wake ila lolote linawezekana na hii ni ligi, tunaenda kwa umakini na tahadhari,” alisema Juma. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom