Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

JICHO LA MWEWE: Mapokezi ya wakubwa mikoani na hatima ya 'Leeds' wetu.

MAISHA yanahama na mbwembwe zake. Siku hizi imezuka fasheni ambayo zamani haikuwepo. Wakubwa wa soka letu wamekuwa wakipokewa kwa mbwembwe nyingi wanapokwenda mikoani. Zamani wakubwa walikuwa wanaingia kimya kimya.

Labda kwa sababu walikuwa wanaingia na mabasi, lakini siku hizi wakubwa wetu Simba na Yanga huwa wanaingia mikoani kwa ndege. Umati wa mashabiki unawasubiri wakubwa wetu. Wengine wanajipanga barabarani.

Zamani hali kama hii ilikuwa inatokea pale tu wakubwa wakichukua taji nje ya nchi au nje ya mkoa. Kama vile Yanga walivyotwaa taji la Afrika Mashariki na kati pale Kampala Uganda mwaka 1993. Kama vile Simba walipoitoa Zamalek na kusonga mbele katika michuano mabingwa wa Afrika mwaka 2003 pale Cairo Misri.

Siku hizi watu wa mikoani wamechangamka. Wanashindana kuwapokea wakubwa wetu. Nini hatima yetu? Unajiuliza, majuzi Yanga walikwenda Mwanza kucheza dhidi ya Mbao katika michuano ya FA wakapokewa kwa mbwembwe zote. Huu ni mkoa ambao hauna timu ya Ligi Kuu. Bahati mbaya au nzuri sidhani kama wenyewe wanajali.

Kama ilivyokuwa zamani ndivyo tunavyorithisha vizazi vyetu. Nchi nzima imegawanyika kuwa Simba na Yanga, basi. Hata watoto wadogo wa mikoani nao wameingia katika mkumbo wa kufuata hisia za baba na mama zao. Hakuna anayetaka kuwa shabiki wa Prisons wala Mbeya City wala Geita Gold. Ni mwendo wa Simba na Yanga tu.

Nini matokeo yake? klabu zao zinakosa hamasa ya mashabiki wa nyumbani. Mashabiki ni roho. Simba na Yanga zinasonga mbele kwa sababu ya hamasa za mashabiki. Mikoani hatuna timu za namna hii. Labda kidogo Tanga ambako wamebakia mashabiki wachache wa asili wa Coastal Union na African Sports.

Lakini zaidi klabu hizi zinakosa pesa. Zinashindwa kujiendesha kwa sababu hazina mashabiki wala wanachama wanaojitolea kuziendesha klabu hizi. Bahati mbaya zaidi hata uwanjani mashabiki hawaendi. Siku pekee ambayo Mbao inaweza kupata mashabiki ni pale inapocheza na Yanga. Watajitokeza mashabiki waTATIZO

Siku hizi mashabiki hawaendi katika mechi za mikoani kwa sababu wanaangalia Simba na Yanga katika televisheni.

[QUOTE="vuligate, post: 680, member: 123"] [HEADING=1]JICHO LA MWEWE: Mapokezi ya wakubwa mikoani na hatima ya 'Leeds' wetu.[/HEADING] [IMG alt="mwewe pic"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/blob/3701950/eb26e50a132a4b6142676f61289cb405/mwewe-pic-data.jpg[/IMG] MAISHA yanahama na mbwembwe zake. Siku hizi imezuka fasheni ambayo zamani haikuwepo. Wakubwa wa soka letu wamekuwa wakipokewa kwa mbwembwe nyingi wanapokwenda mikoani. Zamani wakubwa walikuwa wanaingia kimya kimya. Labda kwa sababu walikuwa wanaingia na mabasi, lakini siku hizi wakubwa wetu Simba na Yanga huwa wanaingia mikoani kwa ndege. Umati wa mashabiki unawasubiri wakubwa wetu. Wengine wanajipanga barabarani. Zamani hali kama hii ilikuwa inatokea pale tu wakubwa wakichukua taji nje ya nchi au nje ya mkoa. Kama vile Yanga walivyotwaa taji la Afrika Mashariki na kati pale Kampala Uganda mwaka 1993. Kama vile Simba walipoitoa Zamalek na kusonga mbele katika michuano mabingwa wa Afrika mwaka 2003 pale Cairo Misri. Siku hizi watu wa mikoani wamechangamka. Wanashindana kuwapokea wakubwa wetu. Nini hatima yetu? Unajiuliza, majuzi Yanga walikwenda Mwanza kucheza dhidi ya Mbao katika michuano ya FA wakapokewa kwa mbwembwe zote. Huu ni mkoa ambao hauna timu ya Ligi Kuu. Bahati mbaya au nzuri sidhani kama wenyewe wanajali. Kama ilivyokuwa zamani ndivyo tunavyorithisha vizazi vyetu. Nchi nzima imegawanyika kuwa Simba na Yanga, basi. Hata watoto wadogo wa mikoani nao wameingia katika mkumbo wa kufuata hisia za baba na mama zao. Hakuna anayetaka kuwa shabiki wa Prisons wala Mbeya City wala Geita Gold. Ni mwendo wa Simba na Yanga tu. Nini matokeo yake? klabu zao zinakosa hamasa ya mashabiki wa nyumbani. Mashabiki ni roho. Simba na Yanga zinasonga mbele kwa sababu ya hamasa za mashabiki. Mikoani hatuna timu za namna hii. Labda kidogo Tanga ambako wamebakia mashabiki wachache wa asili wa Coastal Union na African Sports. Lakini zaidi klabu hizi zinakosa pesa. Zinashindwa kujiendesha kwa sababu hazina mashabiki wala wanachama wanaojitolea kuziendesha klabu hizi. Bahati mbaya zaidi hata uwanjani mashabiki hawaendi. Siku pekee ambayo Mbao inaweza kupata mashabiki ni pale inapocheza na Yanga. Watajitokeza mashabiki waTATIZO Siku hizi mashabiki hawaendi katika mechi za mikoani kwa sababu wanaangalia Simba na Yanga katika televisheni. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom