Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Azam ya Moallin unapigwa na yeyote.

KAMA unadhani kuwazuia washambuliaji wa Azam wasipate bao utakuwa umefanikiwa sahau! Maana unaambiwa mikakati mipya ya kocha mkuu wa kikosi hicho, Abdihamid Moallin ni kuona kila mchezaji anafunga mabao.

Moallin alisema kuwa wachezaji aliokuwa nao wana uwezo mkubwa wa kufunga hivyo licha ya jukumu la kutupia nyavuni kuwa ni la washambuliaji, atahakikisha anaandaa mikakati imara itakayofanikisha dhamira yake ya kila mmoja uwanjani kuwa mfungaji.

“Kuna siku washambuliaji wanakuwa hawako kwenye kiwango kizuri ,sasa ukiwa kama kocha ni lazima uangalie njia mbadala ya kukuwezesha kupata ushindi, hivyo ninachokifanya ni kuwatengenezea uwezo kila mmoja wao kufunga,” alisema Moallin.

Katika hatua nyingine uongozi wa timu hiyo chini yake Ofisa Mtendaji Mkuu, Abdulkarim Amin ‘Popat’, umemtangaza Omar Abdikarim Nasser kuwa kocha wao msaidizi baada ya kusaini mkataba wa miaka mitatu kwa ajili ya kushirikiana na kocha mkuu Moallin.

Akizungumzia ujio wa kocha huyo, Moallin alisema kuwa yalikuwa ni mapendekezo yake ya kuongezewa nguvu kwenye benchi la ufundi hivyo ni wakati wa kufanya kazi kwa kushirikiana ili kufikia malengo ya klabu.

“Tulikuwa naye kipindi chote cha michuano ya Mapinduzi ila kulikuwa na taratibu kadhaa ambazo zilikuwa hazijakamilika, ila kwa sasa kila kitu kimewekwa wazi na uongozi hivyo jukumu lililopo mbele yetu ni kufanya kazi,” alisema Moallin.

Nasser na Moallin ni kama wanaendana kwenye mambo mbalimbali ya soka kwani licha ya kuwa ni watu wenye asili ya Somalia, wana uwezo mkubwa wa kuchambua mechi (match analyst) ambapo hapo kabla ya Moallin kuteuliwa kuwa kocha mkuu alikuwa akiifanya kazi hiyo.

Naye Nasser amewahi pia kufanya hivyo akiwa na timu ya vijana ya umri wa chini ya miaka 23 (U-23) ya Al Sadd ya nchini Qatar kabla ya kufanya majukumu hayo pia akiwa na klabu ya Al Duhail ya huko huko.

Al Sadd ni moja ya timu kubwa nchini Qatar iliyokuwa ikifundishwa na gwiji wa zamani wa Hispania, Xavi Hernandez ambaye kwa sasa amerejea Barcelona akiwa kocha mkuu.

Licha ya kuwa na asili ya Somalia, Nasser alichukua uraia wa England na anahudumu kama kocha msaidizi wa timu ya Taifa ya Somalia kuanzia mwaka jana hadi sasa.

[QUOTE="vuligate, post: 686, member: 123"] [HEADING=1]Azam ya Moallin unapigwa na yeyote.[/HEADING] [IMG alt="azam pic"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3702788/landscape_ratio16x9/1160/652/95041d4f29b56260af2c8c33955c8e95/Ei/azam-pic.jpg[/IMG] KAMA unadhani kuwazuia washambuliaji wa Azam wasipate bao utakuwa umefanikiwa sahau! Maana unaambiwa mikakati mipya ya kocha mkuu wa kikosi hicho, Abdihamid Moallin ni kuona kila mchezaji anafunga mabao. Moallin alisema kuwa wachezaji aliokuwa nao wana uwezo mkubwa wa kufunga hivyo licha ya jukumu la kutupia nyavuni kuwa ni la washambuliaji, atahakikisha anaandaa mikakati imara itakayofanikisha dhamira yake ya kila mmoja uwanjani kuwa mfungaji. “Kuna siku washambuliaji wanakuwa hawako kwenye kiwango kizuri ,sasa ukiwa kama kocha ni lazima uangalie njia mbadala ya kukuwezesha kupata ushindi, hivyo ninachokifanya ni kuwatengenezea uwezo kila mmoja wao kufunga,” alisema Moallin. Katika hatua nyingine uongozi wa timu hiyo chini yake Ofisa Mtendaji Mkuu, Abdulkarim Amin ‘Popat’, umemtangaza Omar Abdikarim Nasser kuwa kocha wao msaidizi baada ya kusaini mkataba wa miaka mitatu kwa ajili ya kushirikiana na kocha mkuu Moallin. Akizungumzia ujio wa kocha huyo, Moallin alisema kuwa yalikuwa ni mapendekezo yake ya kuongezewa nguvu kwenye benchi la ufundi hivyo ni wakati wa kufanya kazi kwa kushirikiana ili kufikia malengo ya klabu. “Tulikuwa naye kipindi chote cha michuano ya Mapinduzi ila kulikuwa na taratibu kadhaa ambazo zilikuwa hazijakamilika, ila kwa sasa kila kitu kimewekwa wazi na uongozi hivyo jukumu lililopo mbele yetu ni kufanya kazi,” alisema Moallin. Nasser na Moallin ni kama wanaendana kwenye mambo mbalimbali ya soka kwani licha ya kuwa ni watu wenye asili ya Somalia, wana uwezo mkubwa wa kuchambua mechi (match analyst) ambapo hapo kabla ya Moallin kuteuliwa kuwa kocha mkuu alikuwa akiifanya kazi hiyo. Naye Nasser amewahi pia kufanya hivyo akiwa na timu ya vijana ya umri wa chini ya miaka 23 (U-23) ya Al Sadd ya nchini Qatar kabla ya kufanya majukumu hayo pia akiwa na klabu ya Al Duhail ya huko huko. Al Sadd ni moja ya timu kubwa nchini Qatar iliyokuwa ikifundishwa na gwiji wa zamani wa Hispania, Xavi Hernandez ambaye kwa sasa amerejea Barcelona akiwa kocha mkuu. Licha ya kuwa na asili ya Somalia, Nasser alichukua uraia wa England na anahudumu kama kocha msaidizi wa timu ya Taifa ya Somalia kuanzia mwaka jana hadi sasa. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom