Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Prisons Wapo Tayari Kuwakabili Simba.

LIGI Kuu ya NBC Tanzania Bara, inatarajiwa kuendelea jioni ya leo Alhamasi kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam ambapo wenyeji Simba watapambana na Tanzania Prisons.

Timu hizo zinakutana huku zote zikiwa zimetoka kupoteza michezo yao iliyopita katika ligi kuu, Simba walifungwa 1-0 na Kagera Sugar, wakati Prisons walitembezewa kipigo cha mabao 0-4 dhidi ya Azam FC.

Akizungumza na Spoti Xtra, Ofisa Habari wa Prisons, Jackson Mwafulango, amesema: “Maandalizi yetu yamekamilika na wachezaji wako tayari kwa ajili ya mapambano yaliyo mbele yetu.”

Prisons mpaka sasa wako katika nafasi ya 16 ambayo ndiyo ya mwisho katika msimamo wa ligi hiyo wakikusanya alama 11, huku Simba wakishika nafasi ya pili na alama zao 25.

[QUOTE="Amir, post: 715, member: 20"] [HEADING=1]Prisons Wapo Tayari Kuwakabili Simba.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/prisons-1.jpg[/IMG] LIGI Kuu ya NBC Tanzania Bara, inatarajiwa kuendelea jioni ya leo Alhamasi kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam ambapo wenyeji Simba watapambana na Tanzania Prisons. Timu hizo zinakutana huku zote zikiwa zimetoka kupoteza michezo yao iliyopita katika ligi kuu, Simba walifungwa 1-0 na Kagera Sugar, wakati Prisons walitembezewa kipigo cha mabao 0-4 dhidi ya Azam FC. Akizungumza na Spoti Xtra, Ofisa Habari wa Prisons, Jackson Mwafulango, amesema: “Maandalizi yetu yamekamilika na wachezaji wako tayari kwa ajili ya mapambano yaliyo mbele yetu.” Prisons mpaka sasa wako katika nafasi ya 16 ambayo ndiyo ya mwisho katika msimamo wa ligi hiyo wakikusanya alama 11, huku Simba wakishika nafasi ya pili na alama zao 25. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom