Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

SIMBA SC YAIKALISHA PRISONS KWA BAO LA TUTA.

BAO la mshambuliaji Mnyarwanda mzaliwa wa Uganda, Meddie Kagere dakika ya 78, limetosha kuipa Simba SC ushindi wa 1-0 dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Kwa ushindi huo, mabingwa watetezi wanafikisha pointi 28 katika mchezo wa 14, ingawa wanabaki nafasi ya pili wakizidiwa pointi saba na vinara, Yanga SC ambao pia wana mchezo mmoja mkononi.

Tanzania Prisons hali inazidi kuwa mbaya baada ya kichapo cha leo, wakibaki na pointi zao 11 baada ya mechi 14 na kuendelea kuzibeba timu nyingine zote 15 kwenye ligi hiyo.

Katika mchezo uliotangulia, wenyeji, Ruvu Shooting walilazimishwa sare ya 1-1 na Mbeya Kwanza Uwanja wa Mabatini, Mlandizi mkoani Pwani.

Saadat Mohamed alianza kuifungia Ruvu Shooting dakika ya 36, kabla ya Habib Kyombo kuisawazishia Mbeya Kwanza dakika ya 51.

Kwa matokeo hayo, Ruvu Shooting inafikisha pointi 12 na kusogea nafasi ya 14 na Mbeya Kwanza wanatimiza pointi 13, ingawa wanabaki nafasi ya 12 baada ya tlmu zote kucheza mechi 14.

[QUOTE="Amir, post: 719, member: 20"] [HEADING=2]SIMBA SC YAIKALISHA PRISONS KWA BAO LA TUTA.[/HEADING] [IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEgQX1eKIOx2bL9IIA1bjx19BNnulKEBl-1_qsfmc66WhJNXaDcBw6OMf_VIpcFAEE9M4sfhL2kJJhhYnHHmGgLBbf-8yq6j5FUG3mdMUzOsj650uYnBOHZmgdvwydFDrdeqBsAu1hzBym9fEjmvtoNmqCTW-u3JEnN6iV9V7o8VdFbFnbky6B19iu2H=w640-h498[/IMG] BAO la mshambuliaji Mnyarwanda mzaliwa wa Uganda, Meddie Kagere dakika ya 78, limetosha kuipa Simba SC ushindi wa 1-0 dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Kwa ushindi huo, mabingwa watetezi wanafikisha pointi 28 katika mchezo wa 14, ingawa wanabaki nafasi ya pili wakizidiwa pointi saba na vinara, Yanga SC ambao pia wana mchezo mmoja mkononi. Tanzania Prisons hali inazidi kuwa mbaya baada ya kichapo cha leo, wakibaki na pointi zao 11 baada ya mechi 14 na kuendelea kuzibeba timu nyingine zote 15 kwenye ligi hiyo. Katika mchezo uliotangulia, wenyeji, Ruvu Shooting walilazimishwa sare ya 1-1 na Mbeya Kwanza Uwanja wa Mabatini, Mlandizi mkoani Pwani. Saadat Mohamed alianza kuifungia Ruvu Shooting dakika ya 36, kabla ya Habib Kyombo kuisawazishia Mbeya Kwanza dakika ya 51. Kwa matokeo hayo, Ruvu Shooting inafikisha pointi 12 na kusogea nafasi ya 14 na Mbeya Kwanza wanatimiza pointi 13, ingawa wanabaki nafasi ya 12 baada ya tlmu zote kucheza mechi 14. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom