Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

AZAM FC YAJISOGEZA NYUMA KABISA YA SIMBA.

WENYEJI, Azam FC wameibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.

Mabao ya Azam FC yamefungwa na washambuliaji wake wa kigeni, Mzambia Rodge Kola dakika ya tano na Mkongo, Idris Mbombo dakika ya 64.

Kwa ushindi huo, Azam FC inafikisha pointi 24 katika mchezo wa 14 na kupanda nafasi ya tatu, ikiizidi pointi mbili Mbeya City ambayo hata hivyo ina mechi moja mkononi.

Dodoma Jiji inabaki na pointi zake 17 za mechi 14 sasa baada ya kucheza mechi 14 pia katika nafasi ya nane.

[QUOTE="vuligate, post: 734, member: 123"] [HEADING=2]AZAM FC YAJISOGEZA NYUMA KABISA YA SIMBA.[/HEADING] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEg4FEvupr6rFlM0tdsOaOnAoG0L2h2KYWq3c_VpSphbRemXjRtAY9bJh223xg0ZiwZw-qbxBuZsAXYfO7nxER7m2kVzkGlwoUi0cJVLgME_wWigyziUVAlN5xGnV2rJE60Xk-BGHZAqYjJau1_r0CykmFjBxWON294j4CALSsYdjmNPqAQq_6MsLtO2=s1080'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEg4FEvupr6rFlM0tdsOaOnAoG0L2h2KYWq3c_VpSphbRemXjRtAY9bJh223xg0ZiwZw-qbxBuZsAXYfO7nxER7m2kVzkGlwoUi0cJVLgME_wWigyziUVAlN5xGnV2rJE60Xk-BGHZAqYjJau1_r0CykmFjBxWON294j4CALSsYdjmNPqAQq_6MsLtO2=w640-h640[/IMG][/URL] WENYEJI, Azam FC wameibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Mabao ya Azam FC yamefungwa na washambuliaji wake wa kigeni, Mzambia Rodge Kola dakika ya tano na Mkongo, Idris Mbombo dakika ya 64. Kwa ushindi huo, Azam FC inafikisha pointi 24 katika mchezo wa 14 na kupanda nafasi ya tatu, ikiizidi pointi mbili Mbeya City ambayo hata hivyo ina mechi moja mkononi. Dodoma Jiji inabaki na pointi zake 17 za mechi 14 sasa baada ya kucheza mechi 14 pia katika nafasi ya nane. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom