Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

SIMBA SC YAILAZA MBEYA KWANZA 1-0 BAO LA CHAMA.

BAO pekee la kiungo Mzambia, Clatous Chama dakika ya 80 limetosha kuipa Simba SC ushindi wa 1-0 dhidi ya Mbeya Kwanza katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Sifa zimuendee mshambuliaji Mnyarwanda, Meddie Kagere aliyevunja mtego wa kuotea wa mabeki wa Mbeya Kwanza na kuendeleza shammbulizi lililozaa bao hilo.

Kwa ushindi huo, mabingwa hao watetezi wanafikisha pointi 31 katika mchezo wa 14, ingawa inabaki nafasi ya pili, ikizidiwa pointi tano na watani wa jadi, Yanga ambao pia wana mechi moja mkononi.

Mbeya Kwanza wanabaki na pointi zao 13 za mechi 14 pia katika nafasi ya 12.

[QUOTE="Amir, post: 763, member: 20"] [HEADING=2]SIMBA SC YAILAZA MBEYA KWANZA 1-0 BAO LA CHAMA.[/HEADING] [IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEjDr_3qWqTHQFlpG6CwAnFKrda2x4SmPNsOSzd_Er45aqlG9oaF3NeBRv7HQTvTOpcrAOpz9paqUEqFZ-r0J7mZfN_r7x6JwrhdZlPerR-PnD8qhMZ9W8TTvr4Sohj8HlDjEdgHgaDHj6isetE1JzsmZqx8dmScEDameMGvPXDjuAV8m8N51Qbnh2Sl=w640-h416[/IMG] BAO pekee la kiungo Mzambia, Clatous Chama dakika ya 80 limetosha kuipa Simba SC ushindi wa 1-0 dhidi ya Mbeya Kwanza katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Sifa zimuendee mshambuliaji Mnyarwanda, Meddie Kagere aliyevunja mtego wa kuotea wa mabeki wa Mbeya Kwanza na kuendeleza shammbulizi lililozaa bao hilo. Kwa ushindi huo, mabingwa hao watetezi wanafikisha pointi 31 katika mchezo wa 14, ingawa inabaki nafasi ya pili, ikizidiwa pointi tano na watani wa jadi, Yanga ambao pia wana mechi moja mkononi. Mbeya Kwanza wanabaki na pointi zao 13 za mechi 14 pia katika nafasi ya 12. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom