Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Kocha Mbeya City: Tulikuja Kuwavuruga Yanga.

MATHIAS Lule, Kocha Mkuu wa Mbeya City, amesema kuwa waliingia uwanjani kuwavuruga Yanga baada ya kujua kwamba wamewasoma kwenye mechi zao ambazo wamecheza.

Juzi, Mbeya City iliweza kusepa na pointi moja mbele ya Yanga ambao ni vinara wa ligi wakiwa na pointi 36 baada ya kucheza mechi 14 msimu wa 2021/22 na hawajapoteza mchezo.

Akizungumza na Championi Jumatatu, Lule alisema kuwa alikuwa anatambua ubora wa Yanga ulipo na namna bora ya kuwavuruga jambo ambalo limewafanya wapate pointi moja ambayo kwao ni muhimu.

“Yanga ubora wake ni eneo la kati na ukiwaacha wacheze wao wanacheza kwa kujiamini, hivyo tulichokifanya ni kuwavuruga kwenye kila kitu, hiyo ilikuwa ni mpango kazi wetu, ndiyo maana unaona kwamba hata mipira iliyokufa tulikuwa tunaitumia bila kuleta hatari kwao.

“Kikubwa ilikuwa ni kuanza na mfumo wa kujilinda kisha kushambulia kwa kushtukiza na kuwabana kwenye eneo la viungo ambalo limekuwa likitumika kupata ushindi. Wao walitusoma kwenye mechi zetu tukabadili mbinu wakakutana na kitu cha tofauti,” alisema Lule.

Mbeya City imesepa na pointi nne mbele ya vigogo Simba na Yanga msimu wa 2021/22 baada ya kuwatungua Simba bao 1-0 Uwanja wa Sokoine kisha ikawa ni sare ya bila kufungana na Yanga, Uwanja wa Mkapa, juzi.

[QUOTE="Amir, post: 774, member: 20"] [HEADING=1]Kocha Mbeya City: Tulikuja Kuwavuruga Yanga.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/yanga-4-1.jpg[/IMG] MATHIAS Lule, Kocha Mkuu wa Mbeya City, amesema kuwa waliingia uwanjani kuwavuruga Yanga baada ya kujua kwamba wamewasoma kwenye mechi zao ambazo wamecheza. Juzi, Mbeya City iliweza kusepa na pointi moja mbele ya Yanga ambao ni vinara wa ligi wakiwa na pointi 36 baada ya kucheza mechi 14 msimu wa 2021/22 na hawajapoteza mchezo. Akizungumza na Championi Jumatatu, Lule alisema kuwa alikuwa anatambua ubora wa Yanga ulipo na namna bora ya kuwavuruga jambo ambalo limewafanya wapate pointi moja ambayo kwao ni muhimu. “Yanga ubora wake ni eneo la kati na ukiwaacha wacheze wao wanacheza kwa kujiamini, hivyo tulichokifanya ni kuwavuruga kwenye kila kitu, hiyo ilikuwa ni mpango kazi wetu, ndiyo maana unaona kwamba hata mipira iliyokufa tulikuwa tunaitumia bila kuleta hatari kwao. “Kikubwa ilikuwa ni kuanza na mfumo wa kujilinda kisha kushambulia kwa kushtukiza na kuwabana kwenye eneo la viungo ambalo limekuwa likitumika kupata ushindi. Wao walitusoma kwenye mechi zetu tukabadili mbinu wakakutana na kitu cha tofauti,” alisema Lule. Mbeya City imesepa na pointi nne mbele ya vigogo Simba na Yanga msimu wa 2021/22 baada ya kuwatungua Simba bao 1-0 Uwanja wa Sokoine kisha ikawa ni sare ya bila kufungana na Yanga, Uwanja wa Mkapa, juzi. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom