Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Manara, Bumbuli wawakalia kooni waamuzi.

Wakizungumza na wanahabari leo kwenye makao makuu ya klabu hiyo, Bumbuli amesema waamuzi wamekuwa na matukio tata hali iliyowafanya leo watoe ya moyoni.

“Tunawataka waamuzi wetu wajitafakari kwa matukio haya, wanaosimamia wachukue hatua juu ya jambo hili kwa sababu watu wanawekeza pesa nyingi kwenye mpira,” amesema Bumbuli na kuongeza;

“Ligi ikiwa na ubora thamani ya Ligi yetu itazidi kuwa kubwa na mpira wetu kiujumla utazidi kukuwa.”

Upande wa Manara amesema upande wa waamuzi kwenye mechi za Simba wapo watu wanalalamika juu maamuzi yanayotolewa.

Manara aliyataja matukio matata ambayo yalitokea ikiwepo mchezo wa Biashara Utd dhidi ya Simba mwamuzi hakuwa na ubora.

Manara alifunguka na kusema wenzao (Simba) waliomba mechi ihairishwe lakini sisi kesho yake tukacheza mechi huku wachezaji wetu wakiumwa na kula panadol.

“Lazima tuwe na usawa kwa timu zote, hata upande wa viongozi kuhukumiwa wanabidi wawe na usawa, mpira unagusa hisia za watanzania”amesema Manara na kuongeza;

“Sisi hatutaki kupendelewa bali tunataka usawa wa ndani ya uwanjani kwa timu zote.”

Manara amesema wao wanakumbusha waamuzi kutambua majukumu yao na hawalalamiki bali wanafanya kwa ajili ya mashabiki zao.

“Mashabiki wetu wanaona kabisa kinachoendelea na sisi hatuwezi kukaa kimya, mimi binafsi siwezi kunyamaza kusemes mpira,” amesema Manara.

Naye Bumbuli alirejea kuzungumza na amesema kuna matukio ambayo yanatokea kwenye mechi za watani wao (Simba) na yana maswali mengi.

Bumbuli ametaja mechi na kinachowashangaza akisema;”Dakika zilizoongezwa kwenye mechi 14 zetu ni 34 huku Simba wameongezwa dakika 75 kwenye mechi 15,”

Bumbuli aliongeza akisema upande wa wapinzani Simba wamepewa kadi nyekundu sita na kupata penalti nane.

“Kadi na penalti hizi sio zote hazifai hapana bali zipo ambazo sio halali ndio maana tunaongea, hii huwezi kukuta ikiwa Simba wanaongoza, sanasana mechi ya sare wataongezwa na watapata bao dakika 94,” amesema Bumbuli na kuongeza;

“Waamuzi wajitafakari maana mpira umebeba hisia za mashabiki wengi sana.”

[QUOTE="Amir, post: 796, member: 20"] [HEADING=1]Manara, Bumbuli wawakalia kooni waamuzi.[/HEADING] Wakizungumza na wanahabari leo kwenye makao makuu ya klabu hiyo, Bumbuli amesema waamuzi wamekuwa na matukio tata hali iliyowafanya leo watoe ya moyoni. “Tunawataka waamuzi wetu wajitafakari kwa matukio haya, wanaosimamia wachukue hatua juu ya jambo hili kwa sababu watu wanawekeza pesa nyingi kwenye mpira,” amesema Bumbuli na kuongeza; “Ligi ikiwa na ubora thamani ya Ligi yetu itazidi kuwa kubwa na mpira wetu kiujumla utazidi kukuwa.” Upande wa Manara amesema upande wa waamuzi kwenye mechi za Simba wapo watu wanalalamika juu maamuzi yanayotolewa. Manara aliyataja matukio matata ambayo yalitokea ikiwepo mchezo wa Biashara Utd dhidi ya Simba mwamuzi hakuwa na ubora. Manara alifunguka na kusema wenzao (Simba) waliomba mechi ihairishwe lakini sisi kesho yake tukacheza mechi huku wachezaji wetu wakiumwa na kula panadol. “Lazima tuwe na usawa kwa timu zote, hata upande wa viongozi kuhukumiwa wanabidi wawe na usawa, mpira unagusa hisia za watanzania”amesema Manara na kuongeza; “Sisi hatutaki kupendelewa bali tunataka usawa wa ndani ya uwanjani kwa timu zote.” Manara amesema wao wanakumbusha waamuzi kutambua majukumu yao na hawalalamiki bali wanafanya kwa ajili ya mashabiki zao. “Mashabiki wetu wanaona kabisa kinachoendelea na sisi hatuwezi kukaa kimya, mimi binafsi siwezi kunyamaza kusemes mpira,” amesema Manara. Naye Bumbuli alirejea kuzungumza na amesema kuna matukio ambayo yanatokea kwenye mechi za watani wao (Simba) na yana maswali mengi. Bumbuli ametaja mechi na kinachowashangaza akisema;”Dakika zilizoongezwa kwenye mechi 14 zetu ni 34 huku Simba wameongezwa dakika 75 kwenye mechi 15,” Bumbuli aliongeza akisema upande wa wapinzani Simba wamepewa kadi nyekundu sita na kupata penalti nane. “Kadi na penalti hizi sio zote hazifai hapana bali zipo ambazo sio halali ndio maana tunaongea, hii huwezi kukuta ikiwa Simba wanaongoza, sanasana mechi ya sare wataongezwa na watapata bao dakika 94,” amesema Bumbuli na kuongeza; “Waamuzi wajitafakari maana mpira umebeba hisia za mashabiki wengi sana.” [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom