Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Kisa GSM, Musukuma amshambulia Rais TFF.

Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Kasheku Musukuma amemshukia Rais wa Shirikisho la soka nchini TFF Wallace Karia kwa kumtuhumu kuwa adui namba moja wa kuua soka la Tanzania, kufuatia kujiondoa kwa Mdhamini Mwenza wa Ligi Kuu Tanzania Bara Kampuni ya GSM.

Musukuma ametoa tuhuma hizo kwa ujumbe wa sauti aliousambaza katika mitandao ya kijamii, huku akionesha kusikitishwa na hatua zilizochukuliwa na Kampuni ya GSM juzi Jumatatu (Februari 07).

Musukuma amesema Karia ameshindwa kuongoza soka la Tanzania na anapaswa kujiuzulu, kutokana na baadhi ya mambo kufanywa hadharani kwa makusudi na yeye kama kiongozi anayakalia kimya.

Mbali na tuhuma kwa kiongozi huyo, Musukuma amelaani vitendo vya baadhi ya waamuzi wanaochezesha michezo ya Ligi Kuu kwa kushindwa kusimamia sheria 17 za mchezo wa soka na kujikuta wakizionea baadhi ya timu ambazo zinajiandaa kwa gharama kubwa kutoka sehemu moja kwenda nyingine.

Kampuni ya GSM ilitangaza kuondoa udhamini wake kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika jijini Dar es salaam kwa kigezo cha baadhi ya vipengele vya mkataba uliosainiwa Mwezi Novemba mwaka jana dhidi ya TFF havijafuatwa.

[QUOTE="Amir, post: 809, member: 20"] [HEADING=1]Kisa GSM, Musukuma amshambulia Rais TFF.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/pic-msukumka-data.jpg[/IMG] Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Kasheku Musukuma amemshukia Rais wa Shirikisho la soka nchini TFF Wallace Karia kwa kumtuhumu kuwa adui namba moja wa kuua soka la Tanzania, kufuatia kujiondoa kwa Mdhamini Mwenza wa Ligi Kuu Tanzania Bara Kampuni ya GSM. Musukuma ametoa tuhuma hizo kwa ujumbe wa sauti aliousambaza katika mitandao ya kijamii, huku akionesha kusikitishwa na hatua zilizochukuliwa na Kampuni ya GSM juzi Jumatatu (Februari 07). Musukuma amesema Karia ameshindwa kuongoza soka la Tanzania na anapaswa kujiuzulu, kutokana na baadhi ya mambo kufanywa hadharani kwa makusudi na yeye kama kiongozi anayakalia kimya. Mbali na tuhuma kwa kiongozi huyo, Musukuma amelaani vitendo vya baadhi ya waamuzi wanaochezesha michezo ya Ligi Kuu kwa kushindwa kusimamia sheria 17 za mchezo wa soka na kujikuta wakizionea baadhi ya timu ambazo zinajiandaa kwa gharama kubwa kutoka sehemu moja kwenda nyingine. Kampuni ya GSM ilitangaza kuondoa udhamini wake kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika jijini Dar es salaam kwa kigezo cha baadhi ya vipengele vya mkataba uliosainiwa Mwezi Novemba mwaka jana dhidi ya TFF havijafuatwa. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom