Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Dawa ya waamuzi ligi kuu hii hapa.

WADAU wa soka nchini wamependekeza dawa ya makosa yanayojirudia ya uamuzi kwenye Ligi Kuu Bara hasa mechi zinazohusisha Simba, Yanga na Azam.

Bao lililozua mjadala zaidi mpaka mitandaoni ni lile la Simba dhidi ya Mbeya Kwanza juzi, huku wengi wakidai lilikuwa la kuotea na waamuzi wasaidizi wakirushiwa lawama kushindwa kutekeleza wajibu.

Wachezaji, makocha, waamuzi na viongozi wa zamani wametoa maoni yaliyotaka kuwepo na umakini kwa waamuzi ikibidi kufutwa kabisa na kulipa faini wanapokosea.

Mchezaji wa zamani Simba, Yanga na Taifa Stars, Zamoyoni Mogela alisema wapo marefa wanaokosea kwa bahati mbaya lakini wengine kwa makusudi lengo likiwa kuwanufaisha watu wa upande mmoja na wanahitaji kupewa adhabu kali ili iwe fundisho.

Mshambuliaji wa zamani Yanga, Hery Morris alisema waamuzi wanaoyumba wafutwe kwenye ratiba kwa sababu wakifungiwa miezi mitatu halafu wakarudi wanakuwa hawajajirekebisha vizuri.

“Unamfungia miezi mitatu halafu kwa mfano kuna mtu kampa pesa nzuri ni ngumu kuumia kwa sababu anakaa nyumbani huku akiwa ameingiza kitu mfukoni. Wakifutwa kabisa haya makosa hayawezi kuwepo,” alisema Morris.

“Hili la waamuzi kwa namna moja ama nyingine linawafanya wachezaji wakicheza mechi za kimataifa wanashindwa kufanya vizuri kwa sababu wamezoea kubebwa.”

Kocha wa zamani Ruvu Shooting na Mbao, Abdulmutic Haji alisema: “Inabidi wafungiwe na kulipa faini kali kama ambazo wachezaji na makocha wanapewa, hii itapunguza haya ambayo yanaendelea kwa sasa.”

Katibu mkuu wa zamani wa TFF, Angetile Osiah anadhani suala la waamuzi kukosea lisiwe kama mazoea kwani kuna tiba sahihi ambayo inatakiwa kufanyika.

“Waamuzi hawawezi kubadilika na kuacha kufanya makosa kutokana na kuwafungia au wakishajadiliwa na Kamati ya Saa 72 ndio iwe basi au fundisho kwao, hiyo si njia sahihi,” alisema Osiah.

“Matukio ya wakati huu kwanza Kamati ya Waamuzi inatakiwa kutoa tamko, lakini tuwatengenezee njia sahihi waamuzi kuacha haya makosa, kwa mfano wenzetu Uingereza wana kundi lenye waamuzi 22 ambao 18 kati yao ni wale wazoefu na waliobaki wanapewa mafundisho kila wakati, lakini kuna waamuzi wa zamani nao hutoa mafundisho kila nyakati.”

Mchezaji wa zamani wa Azam FC, Philip Alando alisema waamuzi wengi wa soka nchini sio kama hawajui kuchezesha mpira, bali wanakosa umakini kutambua majukumu yao na kuna uzembe unawaingia ndani yake.

“Muda mwingine ambalo nimeliona kumekuwa na shida ya kuelewana kati ya mwamuzi wa kati na wasaidizi wake wa pembeni, ndio maana kuna shida nyingi zimekuwa zikitokea eneo hilo,” alisema Alando.

“Wakati mwingine nadhani watu wengi hawafuatilii soka katika mechi kama Geita Gold huko au Polisi Tanzania muda mwingine kumekuwa na makosa mengi kuliko mechi za Simba, Yanga na Azam zinazofuatiliwa na wengi.”

Mwamuzi wa zamani wa kimataifa, Omary Abdulkadir pia amezungumzia malalamiko ya mechi ya Simba dhidi ya Mbeya Kwanza aksiema: “Ni kweli aliotea (mchezaji wa Simba), lakini kabla hajacheza ule mpira ulichezwa na mpinzani wake hivyo akawa ameunawa.”

“Sheria inasema kama mtu wa mwisho aliyecheza mpira alikuwa kwenye nafasi ya kuotea basi ndiyo offside, hivyo kabla mpira haujamfikia Kagere tayari mchezaji wa Mbeya Kwanza alishaiua.”

Akizungumzia kuhusu malalamiko ya mara kwa mara alisema, “inategemea na uzoefu na presha ya mashabiki.”

Isihaka Shirikisho, mwamuzi mkongwe alisema: “Nafikiri ni uzoefu wengi siku hizi wanatoka ligi za chini na kupanda haraka haraka kwenye Ligi Kuu, hivyo wanakosa uzoefu na kukabiliana na presha ya ligi japo wapo baadhi wamefanikiwa lakini wengi wao wanafeli. Walipaswa kuchezesha ligi za chini muda mrefu, hadi wakifika levo ya Ligi Kuu wameiva.”

Mwenyekiti wa zamani wa Yanga, Imani Madega alisema Ligi Kuu inakidhi viwango vya kuweka teknolojia itakayoondoa utata na maswali kwa mashabiki huku akitaja matumizi ya VAR.

Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi, Almas Kasongo alisema: “Mwamuzi ni mtu muhimu hivyo tuna kazi kubwa ya kufanya kuhakikisha tunatoa elimu ya kutosha, ufiti wao kuondoa changamoto zilizopo, waamuzi wanatakiwa kutumia elimu wanayoipata kwa kuwaelimisha wadau ambao ndio mashabiki wa soka, kinachoendelea sasa ni ukosekanaji wa elimu.”

[QUOTE="vuligate, post: 819, member: 123"] [HEADING=1]Dawa ya waamuzi ligi kuu hii hapa.[/HEADING] [IMG alt="Marefa PIC"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3710274/landscape_ratio16x9/1160/652/602f33b9a2efa7663435ab5558d3fa99/lB/marefa-pic.jpg[/IMG] WADAU wa soka nchini wamependekeza dawa ya makosa yanayojirudia ya uamuzi kwenye Ligi Kuu Bara hasa mechi zinazohusisha Simba, Yanga na Azam. Bao lililozua mjadala zaidi mpaka mitandaoni ni lile la Simba dhidi ya Mbeya Kwanza juzi, huku wengi wakidai lilikuwa la kuotea na waamuzi wasaidizi wakirushiwa lawama kushindwa kutekeleza wajibu. Wachezaji, makocha, waamuzi na viongozi wa zamani wametoa maoni yaliyotaka kuwepo na umakini kwa waamuzi ikibidi kufutwa kabisa na kulipa faini wanapokosea. Mchezaji wa zamani Simba, Yanga na Taifa Stars, Zamoyoni Mogela alisema wapo marefa wanaokosea kwa bahati mbaya lakini wengine kwa makusudi lengo likiwa kuwanufaisha watu wa upande mmoja na wanahitaji kupewa adhabu kali ili iwe fundisho. Mshambuliaji wa zamani Yanga, Hery Morris alisema waamuzi wanaoyumba wafutwe kwenye ratiba kwa sababu wakifungiwa miezi mitatu halafu wakarudi wanakuwa hawajajirekebisha vizuri. “Unamfungia miezi mitatu halafu kwa mfano kuna mtu kampa pesa nzuri ni ngumu kuumia kwa sababu anakaa nyumbani huku akiwa ameingiza kitu mfukoni. Wakifutwa kabisa haya makosa hayawezi kuwepo,” alisema Morris. “Hili la waamuzi kwa namna moja ama nyingine linawafanya wachezaji wakicheza mechi za kimataifa wanashindwa kufanya vizuri kwa sababu wamezoea kubebwa.” Kocha wa zamani Ruvu Shooting na Mbao, Abdulmutic Haji alisema: “Inabidi wafungiwe na kulipa faini kali kama ambazo wachezaji na makocha wanapewa, hii itapunguza haya ambayo yanaendelea kwa sasa.” Katibu mkuu wa zamani wa TFF, Angetile Osiah anadhani suala la waamuzi kukosea lisiwe kama mazoea kwani kuna tiba sahihi ambayo inatakiwa kufanyika. “Waamuzi hawawezi kubadilika na kuacha kufanya makosa kutokana na kuwafungia au wakishajadiliwa na Kamati ya Saa 72 ndio iwe basi au fundisho kwao, hiyo si njia sahihi,” alisema Osiah. “Matukio ya wakati huu kwanza Kamati ya Waamuzi inatakiwa kutoa tamko, lakini tuwatengenezee njia sahihi waamuzi kuacha haya makosa, kwa mfano wenzetu Uingereza wana kundi lenye waamuzi 22 ambao 18 kati yao ni wale wazoefu na waliobaki wanapewa mafundisho kila wakati, lakini kuna waamuzi wa zamani nao hutoa mafundisho kila nyakati.” Mchezaji wa zamani wa Azam FC, Philip Alando alisema waamuzi wengi wa soka nchini sio kama hawajui kuchezesha mpira, bali wanakosa umakini kutambua majukumu yao na kuna uzembe unawaingia ndani yake. “Muda mwingine ambalo nimeliona kumekuwa na shida ya kuelewana kati ya mwamuzi wa kati na wasaidizi wake wa pembeni, ndio maana kuna shida nyingi zimekuwa zikitokea eneo hilo,” alisema Alando. “Wakati mwingine nadhani watu wengi hawafuatilii soka katika mechi kama Geita Gold huko au Polisi Tanzania muda mwingine kumekuwa na makosa mengi kuliko mechi za Simba, Yanga na Azam zinazofuatiliwa na wengi.” Mwamuzi wa zamani wa kimataifa, Omary Abdulkadir pia amezungumzia malalamiko ya mechi ya Simba dhidi ya Mbeya Kwanza aksiema: “Ni kweli aliotea (mchezaji wa Simba), lakini kabla hajacheza ule mpira ulichezwa na mpinzani wake hivyo akawa ameunawa.” “Sheria inasema kama mtu wa mwisho aliyecheza mpira alikuwa kwenye nafasi ya kuotea basi ndiyo offside, hivyo kabla mpira haujamfikia Kagere tayari mchezaji wa Mbeya Kwanza alishaiua.” Akizungumzia kuhusu malalamiko ya mara kwa mara alisema, “inategemea na uzoefu na presha ya mashabiki.” Isihaka Shirikisho, mwamuzi mkongwe alisema: “Nafikiri ni uzoefu wengi siku hizi wanatoka ligi za chini na kupanda haraka haraka kwenye Ligi Kuu, hivyo wanakosa uzoefu na kukabiliana na presha ya ligi japo wapo baadhi wamefanikiwa lakini wengi wao wanafeli. Walipaswa kuchezesha ligi za chini muda mrefu, hadi wakifika levo ya Ligi Kuu wameiva.” Mwenyekiti wa zamani wa Yanga, Imani Madega alisema Ligi Kuu inakidhi viwango vya kuweka teknolojia itakayoondoa utata na maswali kwa mashabiki huku akitaja matumizi ya VAR. Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi, Almas Kasongo alisema: “Mwamuzi ni mtu muhimu hivyo tuna kazi kubwa ya kufanya kuhakikisha tunatoa elimu ya kutosha, ufiti wao kuondoa changamoto zilizopo, waamuzi wanatakiwa kutumia elimu wanayoipata kwa kuwaelimisha wadau ambao ndio mashabiki wa soka, kinachoendelea sasa ni ukosekanaji wa elimu.” [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom