Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Kaseja alivyouzwa Simba SC kimafia kutoka Moro United.

JANA kipa Juma Kaseja alianza kuzungumzia mambo mbalimbali yanayomhusu ikiwemo ubora ambao ameendelea nao katika soka, leo staa huyo anaendelea kushusha vitu kuhusu maisha yake ya soka. Endelea naye.. Kaseja anasema baada ya kuonyesha kiwango bora aliingia kwenye mtego wa usajili na kukutana na ofa tatu mezani kutoka Mtibwa Sugar, Simba na Yanga na hatimaye alitua Msimbazi.

Anasema kutua Simba ulikuwa ni usajili wa aina yake baada ya Yanga kumtaka, huku ofa yao ikiwa ni kubwa zaidi lakini kigogo mmoja wa Moro United, Merrey Bahlabou alimpeleka Msimbazi akijazia pesa iliyopungua kwenye ofa ya Simba.

Kaseja anasema licha ya Yanga kuwahi kutoa ofa na Simba kuja baadaye, lakini ilikuwa ngumu kumpata japo-kuwa nafasi ku-bwa alikuwa akiwapa Mtibwa Sugar. “Yanga walinifuata kupitia kwa jamaa mmoja anaitwa Godson Karigo nikawaambia Sh4 milioni ambayo walitaka kupunguziwa wakati watani wao Simba walitaja Sh2.5 milioni kupitia kwa Athuman Kambi. Nakumbuka na (Crescentius) Magori alikuja pia lakini Merrey aliamua kujazia iliyopelea ili nikacheze Simba na ndivyo Yanga walivyonikosa,” anasema.

“Nilipewa pesa niliyotaka na gari, hiyo ndio sababu kubwa iliyonifanya nikaachana na Yanga na Mtibwa na kuamua kukipiga Simba.”

MSHAHARA WAKE SIMBA

Baada ya kupokea pesa yake ndefu ya usajili akiwa Simba, Kaseja anaweka wazi kuwa awali alianza kulipwa mshahara wa Sh50,000 akiwa Moro United hata alipokwenda Simba mshahara ulikuwa Sh80,000 kisha Kassim Dewji akaupandisha hadi Sh120,000.

“Nakumbuka huo mshahara wa Sh50,000 Moro United tulikuwa tunapewa Sh10,000 wiki ya kwanza ya pili na ya tatu, huku ya nne wakimaliza Sh20,000 lakini kwa wakati huo ilikuwa na thamani kubwa tofauti na sasa hivi mchezaji anachukua hadi Sh20 milioni,” anasema Kaseja.

MSIMU MMOJA YANGA

Kaseja baada ya kutumika Simba ndani ya miaka 12 alifanyiwa umafia na viongozi na Yanga ambao walitumia mkwanja wa maana kumnasa kwa mkataba wa mwaka mmoja msimu wa 2014/15.

Anasema Yanga waliwatumia watu kadhaa ili kufanikisha kuipata saini yake na ndipo alipoamua kuichezea timu hiyo baada ya kutangaziwa ofa kubwa ambayo vigogo wa Simba walikiri kutoiweza huku wakimtaka akasaini kandarasi fupi ya mwaka mmoja.

“Nakumbuka Beka ndugu yake Iman Madega wa Yanga alinipigia simu na kuniambia juu ya Yanga. Nilimsikiliza na kufanikisha, lakini viongozi wa Simba kina Adam Mgoi walijua na hawakuwa na namna ya kunizuia,” anasema.

“Mimi nina misimamo sana na sikutaka kutetereka maana niliwekewa dau kubwa ambalo hata nilivyowashirikisha viongozi wa Simba walikubali niondoke nikacheze timu hiyo kwa msimu mmoja.”

KAKIPIGA DENMARK

Kasema ni Tanzania One, lakini hajapata nafasi ya kutoka kwenda kuiwakilisha nchi katika soka la kulipwa nje ya nchi, lakini mwenyewe anafunguka sababu kuwa ni suala la fursa kwani kipindi anaonyesha ubora wa juu, hakukuwa na fursa nyingi za kutoka.

Anasema hakwenda nje kutokana na teknolojia kuwa chini tofauti na sasa na anakiri kuwa angekuwa na umri mdogo na kiwango bora kama alichokuwa nacho miaka ya nyuma asingeweza kuendelea kubaki Tanzania.

“Hata kujiuza nje ilikuwa sio kama sasa, na mimi kila kitu najisimamia mwenyewe kwa sababu nina akili timamu na najua nini nakifanya. Haikuwezekana kucheza nje ndio hivyo, lakini kama kipindi hicho mitandao ingekuwa kama sasa basi ningekuwa Ulaya siku nyingi.

“Niliwahi kwenda nje mwaka 2002 Sweden na Denmark katika mashindano ya Tivon Cup mwaka uliofuata nilitoroka nikiwa timu ya Taifa na kwenda kwenye hayo mashindano tena ambayo yalinisababishia kufungiwa kucheza timu ya taifa,” anasema Kaseja ambaye ameweka wazi kuwa alirudishwa tena Stars baada ya miezi mitatu na Mshindo Msolla aliyekuwa kocha wa timu hiyo.

[QUOTE="Amir, post: 865, member: 20"] [HEADING=1]Kaseja alivyouzwa Simba SC kimafia kutoka Moro United.[/HEADING] JANA kipa Juma Kaseja alianza kuzungumzia mambo mbalimbali yanayomhusu ikiwemo ubora ambao ameendelea nao katika soka, leo staa huyo anaendelea kushusha vitu kuhusu maisha yake ya soka. Endelea naye.. Kaseja anasema baada ya kuonyesha kiwango bora aliingia kwenye mtego wa usajili na kukutana na ofa tatu mezani kutoka Mtibwa Sugar, Simba na Yanga na hatimaye alitua Msimbazi. Anasema kutua Simba ulikuwa ni usajili wa aina yake baada ya Yanga kumtaka, huku ofa yao ikiwa ni kubwa zaidi lakini kigogo mmoja wa Moro United, Merrey Bahlabou alimpeleka Msimbazi akijazia pesa iliyopungua kwenye ofa ya Simba. Kaseja anasema licha ya Yanga kuwahi kutoa ofa na Simba kuja baadaye, lakini ilikuwa ngumu kumpata japo-kuwa nafasi ku-bwa alikuwa akiwapa Mtibwa Sugar. “Yanga walinifuata kupitia kwa jamaa mmoja anaitwa Godson Karigo nikawaambia Sh4 milioni ambayo walitaka kupunguziwa wakati watani wao Simba walitaja Sh2.5 milioni kupitia kwa Athuman Kambi. Nakumbuka na (Crescentius) Magori alikuja pia lakini Merrey aliamua kujazia iliyopelea ili nikacheze Simba na ndivyo Yanga walivyonikosa,” anasema. “Nilipewa pesa niliyotaka na gari, hiyo ndio sababu kubwa iliyonifanya nikaachana na Yanga na Mtibwa na kuamua kukipiga Simba.” [B]MSHAHARA WAKE SIMBA[/B] Baada ya kupokea pesa yake ndefu ya usajili akiwa Simba, Kaseja anaweka wazi kuwa awali alianza kulipwa mshahara wa Sh50,000 akiwa Moro United hata alipokwenda Simba mshahara ulikuwa Sh80,000 kisha Kassim Dewji akaupandisha hadi Sh120,000. “Nakumbuka huo mshahara wa Sh50,000 Moro United tulikuwa tunapewa Sh10,000 wiki ya kwanza ya pili na ya tatu, huku ya nne wakimaliza Sh20,000 lakini kwa wakati huo ilikuwa na thamani kubwa tofauti na sasa hivi mchezaji anachukua hadi Sh20 milioni,” anasema Kaseja. [B]MSIMU MMOJA YANGA[/B] Kaseja baada ya kutumika Simba ndani ya miaka 12 alifanyiwa umafia na viongozi na Yanga ambao walitumia mkwanja wa maana kumnasa kwa mkataba wa mwaka mmoja msimu wa 2014/15. Anasema Yanga waliwatumia watu kadhaa ili kufanikisha kuipata saini yake na ndipo alipoamua kuichezea timu hiyo baada ya kutangaziwa ofa kubwa ambayo vigogo wa Simba walikiri kutoiweza huku wakimtaka akasaini kandarasi fupi ya mwaka mmoja. “Nakumbuka Beka ndugu yake Iman Madega wa Yanga alinipigia simu na kuniambia juu ya Yanga. Nilimsikiliza na kufanikisha, lakini viongozi wa Simba kina Adam Mgoi walijua na hawakuwa na namna ya kunizuia,” anasema. “Mimi nina misimamo sana na sikutaka kutetereka maana niliwekewa dau kubwa ambalo hata nilivyowashirikisha viongozi wa Simba walikubali niondoke nikacheze timu hiyo kwa msimu mmoja.” [B]KAKIPIGA DENMARK[/B] Kasema ni Tanzania One, lakini hajapata nafasi ya kutoka kwenda kuiwakilisha nchi katika soka la kulipwa nje ya nchi, lakini mwenyewe anafunguka sababu kuwa ni suala la fursa kwani kipindi anaonyesha ubora wa juu, hakukuwa na fursa nyingi za kutoka. Anasema hakwenda nje kutokana na teknolojia kuwa chini tofauti na sasa na anakiri kuwa angekuwa na umri mdogo na kiwango bora kama alichokuwa nacho miaka ya nyuma asingeweza kuendelea kubaki Tanzania. “Hata kujiuza nje ilikuwa sio kama sasa, na mimi kila kitu najisimamia mwenyewe kwa sababu nina akili timamu na najua nini nakifanya. Haikuwezekana kucheza nje ndio hivyo, lakini kama kipindi hicho mitandao ingekuwa kama sasa basi ningekuwa Ulaya siku nyingi. “Niliwahi kwenda nje mwaka 2002 Sweden na Denmark katika mashindano ya Tivon Cup mwaka uliofuata nilitoroka nikiwa timu ya Taifa na kwenda kwenye hayo mashindano tena ambayo yalinisababishia kufungiwa kucheza timu ya taifa,” anasema Kaseja ambaye ameweka wazi kuwa alirudishwa tena Stars baada ya miezi mitatu na Mshindo Msolla aliyekuwa kocha wa timu hiyo. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom