Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

KUTOKA NJIWA HADI MAKOMBE

Maisha yanaenda kasi sana, hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya Kaseja kuweka wazi kuwa kabla hajaanza kucheza gozi la ng’ombe alianza kucheza mpira wa maka-ratasi (chandimu) ambao ndio walikuwa wanagombania njiwa.

“Nimepambana sana. Nakumbuka kipindi hicho tunagombea njiwa na sio kwamba ni timu mbili, hapana. Inakuwa ligi kabisa timu nyingi kwa kukutanisha timu za mitaa,” anasema.

Kaseja anasema timu yake ilikuwa Usagara ndio mtaa waliokuwa wanaishi Kigoma, hivyo mipango ilifanyika mitaa ikapangana na kuanzisha mashindano ambayo bingwa alikuwa anapata njiwa akisema hakikuwa kitu kidogo kipindi hicho.

“Wakati huo njiwa anauzwa Sh250 na ushindi Sh50 lakini ilikuwa na raha sana tunafurahia. Kwa sasa unakaona kadogo ila kipindi kile alikuwa mkubwa na tulikuwa tunapigana kabisa,” anasema akieleza tofauti hiyo na ambavyo amecheza kwa kiwango cha juu akishinda mataji mbalimbali.

NENO KWA WATU WA MPIRA

Akizungumzia mpira wa miguu kwa ujumla wake, Kaseja anasema: “Nawaomba waache tabia za kuwafikiria watu visivyo na kuwatungia mambo ambayo sio sawa, kwani naamini kupitia wao mpira wetu utazidi kupiga hatua zaidi endapo wataacha mambo hayo.”

Kaseja anasema watu wa mpira wanaweza kukuamulia na kukuzushia jambo kwa mapenzi yao wenyewe kitendo ambacho kinamuumiza katika maisha yake, hivyo ni wakati kwao wa kubadilika.

“Kama mchezaji hujajifunga mkanda na kukomaa kwa kile unachokiamini, basi unapotea maana hao watu wanaweza kukutoa mchezoni kabisa,” anasema.

KUTOKATA TAMAA

Wakati wachezaji wengi hasa chipukizi wakihofia kusajiliwa na timu aliyopo kwa kuhofia kupata namba ya kucheza, Kaseja anafunguka kuwa woga wao ndio umaskini wao kwani hawana wanachoweza kupoteza chini yake na zaidi watafurahia kujifunza.

Anasema hakuzaliwa kwa ajili ya kuziba riziki za watu wengine alipopata nafasi ya kucheza amewapisha wengi na walipata nafasi ya kucheza, hivyo anaamini katika kutoa nafasi kwa wengine.

“Wakisikiliza maneno ya watu sijui unaenda hiyo timu yupo Kaseja hauchezi watapotea, kwani mimi mbona siku nyingine nakaa ben-chi na ha-ta siwezi kuhoji wala kulalamika kwa kuwa najua na naelewa hamuwezi kuanza wote kikosi cha kwanza,” anasema Kaseja.

Anasema wachezaji ambao wametangulia wanatakiwa kuwa mfano wa kuigwa kwa chipukizi ili wajifunze vitu vingi kutoka kwao.

“Wanatakiwa kukomaa na kuamini katika malengo na mipango yao kwenye mpira, kwani naamini wakifuata hiyo misingi wataweza kufika mbali kama sisi tulivyo.”

MECHI BORA STARS

Akiizungumzia Taifa Stars, Kaseja anasema mechi ya kwanza kudaka akiwa na timu ya Taifa ni dhidi ya Kenya, kipa akiwa yeye na Peter Manyika na hapo ndipo alipata nafasi ya kucheza wakati huo Manyika alitoka timu iliyovunjwa baada ya mchezo wa kwanza Tanzania kufungwa 5-0 na Kenya.

Anasema anakumbuka kabla ya mchezo aliitwa na Manyika na kumuandaa kisaikolojia kuwa ataanza kwenye mchezo na hakuamini hilo hadi alipocheza.

“Manyika alianza kunijenga kabla ya kupangwa na hapo ndipo hofu ilipozidi baada ya kuona senior (mkongwe) kakaa benchi mimi napangwa sio kwamba kachoka, hapana,” anasema.

Kipa huyo anasema alipagawa na huo mchezo, lakini baada ya mechi walishinda 1-0 na kocha wa Kenya alimzungumzia zaidi kutokana na uwezo aliouonyesha na kuweka wazi kuwa wamekubali matokeo na juhudi za kipa ndizo ziliibeba Tanzania.

KASEJA, MATOLA

Wakati wadau wengi wakiamini kuwa Matola na Kaseja wamecheza pamoja mwenyewe anafunguka kuwa hilo halipingiki ni kweli ilikuwa hivyo lakini yeye alikuwa timu ya vijana wakati Matola anacheza timu ya wakubwa.

[QUOTE="Amir, post: 867, member: 20"] [B]KUTOKA NJIWA HADI MAKOMBE[/B] Maisha yanaenda kasi sana, hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya Kaseja kuweka wazi kuwa kabla hajaanza kucheza gozi la ng’ombe alianza kucheza mpira wa maka-ratasi (chandimu) ambao ndio walikuwa wanagombania njiwa. “Nimepambana sana. Nakumbuka kipindi hicho tunagombea njiwa na sio kwamba ni timu mbili, hapana. Inakuwa ligi kabisa timu nyingi kwa kukutanisha timu za mitaa,” anasema. Kaseja anasema timu yake ilikuwa Usagara ndio mtaa waliokuwa wanaishi Kigoma, hivyo mipango ilifanyika mitaa ikapangana na kuanzisha mashindano ambayo bingwa alikuwa anapata njiwa akisema hakikuwa kitu kidogo kipindi hicho. “Wakati huo njiwa anauzwa Sh250 na ushindi Sh50 lakini ilikuwa na raha sana tunafurahia. Kwa sasa unakaona kadogo ila kipindi kile alikuwa mkubwa na tulikuwa tunapigana kabisa,” anasema akieleza tofauti hiyo na ambavyo amecheza kwa kiwango cha juu akishinda mataji mbalimbali. [B]NENO KWA WATU WA MPIRA[/B] Akizungumzia mpira wa miguu kwa ujumla wake, Kaseja anasema: “Nawaomba waache tabia za kuwafikiria watu visivyo na kuwatungia mambo ambayo sio sawa, kwani naamini kupitia wao mpira wetu utazidi kupiga hatua zaidi endapo wataacha mambo hayo.” Kaseja anasema watu wa mpira wanaweza kukuamulia na kukuzushia jambo kwa mapenzi yao wenyewe kitendo ambacho kinamuumiza katika maisha yake, hivyo ni wakati kwao wa kubadilika. “Kama mchezaji hujajifunga mkanda na kukomaa kwa kile unachokiamini, basi unapotea maana hao watu wanaweza kukutoa mchezoni kabisa,” anasema. [B]KUTOKATA TAMAA[/B] Wakati wachezaji wengi hasa chipukizi wakihofia kusajiliwa na timu aliyopo kwa kuhofia kupata namba ya kucheza, Kaseja anafunguka kuwa woga wao ndio umaskini wao kwani hawana wanachoweza kupoteza chini yake na zaidi watafurahia kujifunza. Anasema hakuzaliwa kwa ajili ya kuziba riziki za watu wengine alipopata nafasi ya kucheza amewapisha wengi na walipata nafasi ya kucheza, hivyo anaamini katika kutoa nafasi kwa wengine. “Wakisikiliza maneno ya watu sijui unaenda hiyo timu yupo Kaseja hauchezi watapotea, kwani mimi mbona siku nyingine nakaa ben-chi na ha-ta siwezi kuhoji wala kulalamika kwa kuwa najua na naelewa hamuwezi kuanza wote kikosi cha kwanza,” anasema Kaseja. Anasema wachezaji ambao wametangulia wanatakiwa kuwa mfano wa kuigwa kwa chipukizi ili wajifunze vitu vingi kutoka kwao. “Wanatakiwa kukomaa na kuamini katika malengo na mipango yao kwenye mpira, kwani naamini wakifuata hiyo misingi wataweza kufika mbali kama sisi tulivyo.” [B]MECHI BORA STARS[/B] Akiizungumzia Taifa Stars, Kaseja anasema mechi ya kwanza kudaka akiwa na timu ya Taifa ni dhidi ya Kenya, kipa akiwa yeye na Peter Manyika na hapo ndipo alipata nafasi ya kucheza wakati huo Manyika alitoka timu iliyovunjwa baada ya mchezo wa kwanza Tanzania kufungwa 5-0 na Kenya. Anasema anakumbuka kabla ya mchezo aliitwa na Manyika na kumuandaa kisaikolojia kuwa ataanza kwenye mchezo na hakuamini hilo hadi alipocheza. “Manyika alianza kunijenga kabla ya kupangwa na hapo ndipo hofu ilipozidi baada ya kuona senior (mkongwe) kakaa benchi mimi napangwa sio kwamba kachoka, hapana,” anasema. Kipa huyo anasema alipagawa na huo mchezo, lakini baada ya mechi walishinda 1-0 na kocha wa Kenya alimzungumzia zaidi kutokana na uwezo aliouonyesha na kuweka wazi kuwa wamekubali matokeo na juhudi za kipa ndizo ziliibeba Tanzania. [B]KASEJA, MATOLA[/B] Wakati wadau wengi wakiamini kuwa Matola na Kaseja wamecheza pamoja mwenyewe anafunguka kuwa hilo halipingiki ni kweli ilikuwa hivyo lakini yeye alikuwa timu ya vijana wakati Matola anacheza timu ya wakubwa. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom