Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

MAREFA WALIOIAMULIA YANGA DHIDI YA MBEYA CITY WAFUNGIWA.

REFA Hussein Athumani kutoka Katavi na Msaidizi wake namba mbili, Godfrey Msakila wa Geita wamefungiwa mechi tatu baada ya kuvurunda katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baina ya wenyeji, Yanga na Mbeya City Februari 5, Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Waamuzi hao walimhukumu kinyume cha sheria mshambuliaji Mkongo wa Yanga, Fiston Kalala Mayele kuotea akiwa kwenye nafasi ya kufunga katika mchezo ambao timu hizo zilitoka sare ya 0-0.

REFA ALIYEWABEBA SIMBA DHIDI YA MBEYA KWANZA AFUNGIWA

REFA Ahmada Simba wa Kagera amefungiwa mechi tatu kwa kosa kukubali bao la kuotea la kiungo Mzambia, Clatous Chama katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Mbeya Kwanza, Simba SC ikiibuka na ushindi wa 1-0 Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam Februari 3, mwaka huu.

[QUOTE="Amir, post: 872, member: 20"] [HEADING=2]MAREFA WALIOIAMULIA YANGA DHIDI YA MBEYA CITY WAFUNGIWA.[/HEADING] REFA Hussein Athumani kutoka Katavi na Msaidizi wake namba mbili, Godfrey Msakila wa Geita wamefungiwa mechi tatu baada ya kuvurunda katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baina ya wenyeji, Yanga na Mbeya City Februari 5, Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Waamuzi hao walimhukumu kinyume cha sheria mshambuliaji Mkongo wa Yanga, Fiston Kalala Mayele kuotea akiwa kwenye nafasi ya kufunga katika mchezo ambao timu hizo zilitoka sare ya 0-0. [HEADING=2]REFA ALIYEWABEBA SIMBA DHIDI YA MBEYA KWANZA AFUNGIWA[/HEADING] REFA Ahmada Simba wa Kagera amefungiwa mechi tatu kwa kosa kukubali bao la kuotea la kiungo Mzambia, Clatous Chama katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Mbeya Kwanza, Simba SC ikiibuka na ushindi wa 1-0 Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam Februari 3, mwaka huu. [IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEgASOEX1UMxChKPOweIzHJ18UfWN4d_dqyHH-02mAHyNN4bw4Ka0XICCIF1q-AOwpK5QDh3D7iMhEvIVDmGLh6-u_gr_dZdohEIT_txfg1actv6v2r0kM-dD8v6jKVcP--H6FnoXixGoimXmEU6BeV3DB6qLhCQ9ZMWBC0b4yfk6gt4Fe9h3SEQWLxS=w512-h640[/IMG][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEhzCf0iQwFNeKxyNo7dt1R19hS3XaivRloUOUpKRuhuNxKcYh3CaOjcBU8_UKKmNHygx-qtitmAg8DeFWBCGDN9dQb7JNvzhBPtc1VGbDg0UrpHVhqI2E-_2JYS2Z1v6440tMO74KlgEdFDzLZ8GanT78Bv__52sap1GkxulgEuPHGo8c-wIfexsiOu=w512-h640[/IMG] [IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEgt9wMSaBZrG5HxZ-7JbUwJv5DJzDnrPEAz7lqZD8nzt54Kc638Vc4d8g9DBn4DRR2G9VN8IjIVKgfwBu1isRfFvimXjjZyS1ThQqAzebRnViCM339tKbldN24zeLRcBDGUtmytHy0uP15hc2Tke0KycFeC37c59Ld-Vc4byoY1UdrDxp_RX93R8Nlk=w512-h640[/IMG] [IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEg5lufKexm3zURiHjorqRvVwDDaoDJnuERt6ZGxl6jSo-ewacoucos1uc3Xfr1Wr2349yPzgVVcjnspbX3X3fZ0M7rX7cIcKNmDL9hIWjpSg3716Bhz_mPnz-6kXxb3CZMIi7CKXWwE_kDnt_9JJcNnEzUhAXm6PTPZ5BDUKJNctX520vq0y-tSmIhb=w512-h640[/IMG] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom