Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Biashara Kufa na Kupona kwa Yanga.

KOCHA Mkuu wa Biashara United ya Mara, Vibier Bahati ameweka wazi kuwa watacheza kwa kufa na kupona kwenye mechi yao ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Yanga kwa ajili ya kupata matokeo.

Biashara watakuwa ugenini kwenye mechi hiyo itakayochezwa Uwanja wa Mkapa, Dar Februari 15.

“Tangu msimu huu wa ligi uanze Yanga wamekuwa na timu bora yenye wachezaji wazuri, lakini sisi hatutaangalia hilo na badala yake tutapigana kufa na kupona ili tupate matokeo katika mchezo huo.

“Bado malengo yetu ni kuiwakilisha nchi kwenye mashindano ya kimataifa kwa hivyo dhamira yetu ni kutwaa ubingwa wa kombe hili ili hapo baadae tuwakilishe nchi kimataifa baada ya kufanya hivyo msimu huu japokuwa hatukuwa mabingwa wa mashindano haya.

“Tutautumia mchezo huo kujijenga uwanjani lakini pia kuangalia makosa ambayo tumeyarekebisha kama tumefanikiwa, tunawaomba mashabiki wetu waje kwa wingi kutuunga mkono,” alimaliza Bahati.

[QUOTE="vuligate, post: 889, member: 123"] [HEADING=1]Biashara Kufa na Kupona kwa Yanga.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2021/09/biasharautd_241182653_2985254285074728_9199527890377565480_n.jpg[/IMG] KOCHA Mkuu wa Biashara United ya Mara, Vibier Bahati ameweka wazi kuwa watacheza kwa kufa na kupona kwenye mechi yao ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Yanga kwa ajili ya kupata matokeo. Biashara watakuwa ugenini kwenye mechi hiyo itakayochezwa Uwanja wa Mkapa, Dar Februari 15. “Tangu msimu huu wa ligi uanze Yanga wamekuwa na timu bora yenye wachezaji wazuri, lakini sisi hatutaangalia hilo na badala yake tutapigana kufa na kupona ili tupate matokeo katika mchezo huo. “Bado malengo yetu ni kuiwakilisha nchi kwenye mashindano ya kimataifa kwa hivyo dhamira yetu ni kutwaa ubingwa wa kombe hili ili hapo baadae tuwakilishe nchi kimataifa baada ya kufanya hivyo msimu huu japokuwa hatukuwa mabingwa wa mashindano haya. “Tutautumia mchezo huo kujijenga uwanjani lakini pia kuangalia makosa ambayo tumeyarekebisha kama tumefanikiwa, tunawaomba mashabiki wetu waje kwa wingi kutuunga mkono,” alimaliza Bahati. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom