Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Lusajo: Nitampoteza Mayele.

KINARA wa wafungaji kwenye Ligi Kuu Bara mpaka sasa, Reliants Lusajo, amemtangazia vita mpinzani wake mkubwa katika vita ya ufungaji bora msimu huu, Fiston Mayele akisema amejipanga kuendelea kutupia mabao kwa kila nafasi atakayoipata.

Lusajo ambaye ni nahodha wa Namungo, mpaka sasa amefanikiwa kuifungia timu hiyo mabao tisa akifuatiwa na Mayele wa Yanga mwenye mabao sita.

Akizungumza na Championi Jumamosi, Lusajo alisema: “Nafurahia kiwango ambacho nimekuwa nacho kwa sasa, kama mchezaji hususani ambaye ninahudumu kwenye unahodha ni jambo muhimu kuhakikisha ninaipambania timu yangu ili iweze kupata matokeo mazuri.

“Kuhusu vita ya ufungaji bora ni kweli hiyo ni sehemu ya malengo ambayo nimejiwekea msimu huu, najua ushindani ni mkubwa kutokana na ubora wa washambuliaji wengine kama vile Fiston Mayele, lakini nimejipanga kutumia kila nafasi ambayo nitaipata kuhakikisha ninafunga mabao mengi zaidi.”

[QUOTE="vuligate, post: 892, member: 123"] [HEADING=1]Lusajo: Nitampoteza Mayele.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/mayele-yanga.jpg[/IMG] KINARA wa wafungaji kwenye Ligi Kuu Bara mpaka sasa, Reliants Lusajo, amemtangazia vita mpinzani wake mkubwa katika vita ya ufungaji bora msimu huu, Fiston Mayele akisema amejipanga kuendelea kutupia mabao kwa kila nafasi atakayoipata. Lusajo ambaye ni nahodha wa Namungo, mpaka sasa amefanikiwa kuifungia timu hiyo mabao tisa akifuatiwa na Mayele wa Yanga mwenye mabao sita. Akizungumza na [B]Championi Jumamosi, [/B]Lusajo alisema: “Nafurahia kiwango ambacho nimekuwa nacho kwa sasa, kama mchezaji hususani ambaye ninahudumu kwenye unahodha ni jambo muhimu kuhakikisha ninaipambania timu yangu ili iweze kupata matokeo mazuri. “Kuhusu vita ya ufungaji bora ni kweli hiyo ni sehemu ya malengo ambayo nimejiwekea msimu huu, najua ushindani ni mkubwa kutokana na ubora wa washambuliaji wengine kama vile Fiston Mayele, lakini nimejipanga kutumia kila nafasi ambayo nitaipata kuhakikisha ninafunga mabao mengi zaidi.” [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom