Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Biashara tatizo viwanja.

BIASHARA United tayari ipo jijini Dar es Salaam kwa ajili ya pambano lao la ASFC dhidi ya Yanga, huku kocha mkuu wake, Bahati Vivier akilia kukutana na changamoto ya viwanja vya kupigia tizi kwa timu hiyo.

Yanga na Biashara zitaumana Jumanne katika mechi ya 16 Bora ya Kombe la ASFC itakayopigwa kuanzia saa 1:00 usiku Uwanja wa Benjamin Mkapa na Vivier alisema wamekutana na ugumu wa upata viwanja vya mazoezi kwa uharaka licha ya kuandaa programu zao mapema.

“Una plani mazoezi, lakini inafika mpaka saa tisa jioni haujajua unafanya wapi mazoezi hii inakuwa inasumbua, tunaelewa ni mazingira ya hapa, tukipata uwanja hata kwa kukawia inabidi tuutumie vizuri, ila inanipa mawazo kwenye mipango yangu,” alisema kocha msaidizi huyo wa zamani wa Azam raia wa Burundi.

Mwanaspoti liliwashuhudia wakifanya mazoezi yao katika uwanja wa Uhuru wenye nyasi bandia huku mchezo wao na Yanga ukipigwa kwenye Uwanja wa Mkapa.

Vivier alisema suala la kikosi chake kufanya mazoezi kwenye uwanja wa bandia halisumbui na hakuna shida yoyote ile unapoenda kucheza kwenye nyasi za asili.

“Hakuna tabu kama ukifanya mazoezi kwenye nyasi bandia ukacheza mechi kwenye nyasi hasili, anayejua anajua tu na hatuwezi kulazimisha kupata uwanja mwingine, tumepata Uhuru hapa ndio maana tunautumia,” alisema Vivier na kuongeza; “Tunaenda kucheza mechi moja ambayo mmoja anatakiwa atoke, tunazungumza timu nzima kuhakikisha kila idara inakuwa vizuri ili tuweze kupata ushindi.

[QUOTE="mhariri, post: 909, member: 122"] [HEADING=1]Biashara tatizo viwanja.[/HEADING] [IMG alt="biashara pic"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3716042/landscape_ratio16x9/1160/652/58ebb301647b1b8662fd1eb5e8b1473f/CC/biashara-pic.jpg[/IMG] BIASHARA United tayari ipo jijini Dar es Salaam kwa ajili ya pambano lao la ASFC dhidi ya Yanga, huku kocha mkuu wake, Bahati Vivier akilia kukutana na changamoto ya viwanja vya kupigia tizi kwa timu hiyo. Yanga na Biashara zitaumana Jumanne katika mechi ya 16 Bora ya Kombe la ASFC itakayopigwa kuanzia saa 1:00 usiku Uwanja wa Benjamin Mkapa na Vivier alisema wamekutana na ugumu wa upata viwanja vya mazoezi kwa uharaka licha ya kuandaa programu zao mapema. “Una plani mazoezi, lakini inafika mpaka saa tisa jioni haujajua unafanya wapi mazoezi hii inakuwa inasumbua, tunaelewa ni mazingira ya hapa, tukipata uwanja hata kwa kukawia inabidi tuutumie vizuri, ila inanipa mawazo kwenye mipango yangu,” alisema kocha msaidizi huyo wa zamani wa Azam raia wa Burundi. Mwanaspoti liliwashuhudia wakifanya mazoezi yao katika uwanja wa Uhuru wenye nyasi bandia huku mchezo wao na Yanga ukipigwa kwenye Uwanja wa Mkapa. Vivier alisema suala la kikosi chake kufanya mazoezi kwenye uwanja wa bandia halisumbui na hakuna shida yoyote ile unapoenda kucheza kwenye nyasi za asili. “Hakuna tabu kama ukifanya mazoezi kwenye nyasi bandia ukacheza mechi kwenye nyasi hasili, anayejua anajua tu na hatuwezi kulazimisha kupata uwanja mwingine, tumepata Uhuru hapa ndio maana tunautumia,” alisema Vivier na kuongeza; “Tunaenda kucheza mechi moja ambayo mmoja anatakiwa atoke, tunazungumza timu nzima kuhakikisha kila idara inakuwa vizuri ili tuweze kupata ushindi. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom