Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

TFF yamlilia Kondo.

SHIRIKISHO la soka Tanzania (TFF) limepokea kwa mshtuko kifo cha aliyekuwa katibu wa chama cha soka mkoa wa Dar es Salaam (DRFA), Msanifu Kondo.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na TFF Rais wake Wallace Karia amepokea kwa masikitiko makubwa msiba huo mkubwa katika tasnia ya soka.

Karia ametuma Salam za rambirambi kwa Mwenyekiti wa DRFA Lameck Nyambaya kutokana na msiba huo mzito pamoja na familia ndugu jamaa na marafiki na wanafamilia wa mpira kwa ujumla.

Aidha Karia amewaomba familia, ndugu, jamaa, marafiki na wanafamilia wa mpira wa miguu na wote walioguswa na msiba huo kuwa na Subira wakati huu ambao wamepoteza mpendwa wao.

"Mpaka mauti yanamkutaalikuwa akihudumu kwenye nafasi ya katibu wa DRFA na msimamizi wa kituo Cha Dar es Salaam, Mungu ailaze roho ya marehemu Msanifu Kondo mahala pema peponi amen, "

[QUOTE="mhariri, post: 910, member: 122"] [HEADING=1]TFF yamlilia Kondo.[/HEADING] [IMG alt="tff pic"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3716142/landscape_ratio16x9/1160/652/5e3268455427b94c81031a2563f9e32d/Oc/tff-pic.jpg[/IMG] SHIRIKISHO la soka Tanzania (TFF) limepokea kwa mshtuko kifo cha aliyekuwa katibu wa chama cha soka mkoa wa Dar es Salaam (DRFA), Msanifu Kondo. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na TFF Rais wake Wallace Karia amepokea kwa masikitiko makubwa msiba huo mkubwa katika tasnia ya soka. Karia ametuma Salam za rambirambi kwa Mwenyekiti wa DRFA Lameck Nyambaya kutokana na msiba huo mzito pamoja na familia ndugu jamaa na marafiki na wanafamilia wa mpira kwa ujumla. Aidha Karia amewaomba familia, ndugu, jamaa, marafiki na wanafamilia wa mpira wa miguu na wote walioguswa na msiba huo kuwa na Subira wakati huu ambao wamepoteza mpendwa wao. "Mpaka mauti yanamkutaalikuwa akihudumu kwenye nafasi ya katibu wa DRFA na msimamizi wa kituo Cha Dar es Salaam, Mungu ailaze roho ya marehemu Msanifu Kondo mahala pema peponi amen, " [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom