Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Kondo aacha pengo soka la Bongo.

KATIBU mkuu wa Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF), Wilfred Kidao amesema kifo cha aliyekuwa katibu wa chama cha mpira wa miguu Dar es Salaam (DRFA), Msanifu Kondo ni pigo kwenye soka la Tanzania.

Kondo alifariki Februari 14 asubuhi wakati akiwa njiani kuelekea hospitali kwa ajili ya kupatiwa matibabu.

Kidao amesema Msanifu alikuwa anafanya kazi kwa weledi mkubwa kwenye upande wa chama chake kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa.

“Mkoa wa Dar es Salaam ndio unachezwa mechi nyingi kwa siku lakini yeye aliweza kusimamia kwa nguvu zote na kila kitu kikaenda sawa,” amesema na kuongeza;

“Nje ya ukatibu huyu alikuwa mchezaji mzuri lakini pia ni wakili msomi mzuri ambaye kesi zingine yeye alikuwa anazimaliza kwa kutumia sheria.”

Naye mhasibu wa DRFA, Issa Masoud amesema mara kwa mara viongozi kwa pamoja walikuwa wanawasiliana na familia ya marehemu na hata kazi inapohitajika kufanywa na yeye walikuwa wanamfuata mpaka nyumbani kwake.

Issa amesema marehemu alikuwa na wepesi wa kuamua kesi kwenye soka kwa sababu alikuwa ni wakili kutoka Mahakama kuu.

“Upande wa kuzungumza nae mara ya mwisho alinitumia meseji asubuhi na nilipoijibu hakutuma tena, tukapanga kama viongozi tuje kumuona,” amesema na kuongeza;

“Jana Jumatatu ndio ilitakiwa tuje kuonana nae na kwenda kupatiwa matibabu zaidi lakini akiwa anaenda hospitali alifariki akiwa njiani.”

Wakati huo huo Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi, Steven Mguto amesema ;”Hili ni pigo kubwa kwetu sisi kwa sababu alikuwa mjumbe pia wa masaa 72, pengo lake litazibika lakini sio kama ambavyo alikuwa anafanya Msanifu.

[QUOTE="mhariri, post: 934, member: 122"] [HEADING=1]Kondo aacha pengo soka la Bongo.[/HEADING] [IMG alt="kondo pic"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/blob/3717602/b8ff45f9f24913dda162c34fb5fefa68/kondo-pic-data.jpg[/IMG] KATIBU mkuu wa Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF), Wilfred Kidao amesema kifo cha aliyekuwa katibu wa chama cha mpira wa miguu Dar es Salaam (DRFA), Msanifu Kondo ni pigo kwenye soka la Tanzania. Kondo alifariki Februari 14 asubuhi wakati akiwa njiani kuelekea hospitali kwa ajili ya kupatiwa matibabu. Kidao amesema Msanifu alikuwa anafanya kazi kwa weledi mkubwa kwenye upande wa chama chake kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa. “Mkoa wa Dar es Salaam ndio unachezwa mechi nyingi kwa siku lakini yeye aliweza kusimamia kwa nguvu zote na kila kitu kikaenda sawa,” amesema na kuongeza; “Nje ya ukatibu huyu alikuwa mchezaji mzuri lakini pia ni wakili msomi mzuri ambaye kesi zingine yeye alikuwa anazimaliza kwa kutumia sheria.” Naye mhasibu wa DRFA, Issa Masoud amesema mara kwa mara viongozi kwa pamoja walikuwa wanawasiliana na familia ya marehemu na hata kazi inapohitajika kufanywa na yeye walikuwa wanamfuata mpaka nyumbani kwake. Issa amesema marehemu alikuwa na wepesi wa kuamua kesi kwenye soka kwa sababu alikuwa ni wakili kutoka Mahakama kuu. “Upande wa kuzungumza nae mara ya mwisho alinitumia meseji asubuhi na nilipoijibu hakutuma tena, tukapanga kama viongozi tuje kumuona,” amesema na kuongeza; “Jana Jumatatu ndio ilitakiwa tuje kuonana nae na kwenda kupatiwa matibabu zaidi lakini akiwa anaenda hospitali alifariki akiwa njiani.” Wakati huo huo Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi, Steven Mguto amesema ;”Hili ni pigo kubwa kwetu sisi kwa sababu alikuwa mjumbe pia wa masaa 72, pengo lake litazibika lakini sio kama ambavyo alikuwa anafanya Msanifu. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom