Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Mtibwa Waitaka Yanga Manungu.

UONGOZI wa Klabu ya Mtibwa Sugar, umeweka wazi kuwa, mchezo wao dhidi ya Yanga utafanyika Uwanja wa Manungu uliopo mkoani Morogoro na wala hawatauhamisha kwenda popote.

Februari 23, mwaka huu, Mtibwa watakuwa wenyeji wa Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu Bara.

Akizungumza na Spoti Xtra, Ofisa Habari wa Mtibwa Sugar, Thobias Kifaru, alisema: “Watu wanazusha kuwa mechi sijui itafanyika Tabora, lakini nataka niwaambie kuwa mechi ipo palepale katika uwanja wetu wa Manungu.

“Sisi tunaitaka Yanga ije hapa Manungu, tumejipanga vizuri kuwakabili. “Kwa namna yoyote ile tutapata ushindi, huko nyuma tumepoteza mechi, lakini kwa Yanga tutapambana kushinda.”

[QUOTE="Amir, post: 985, member: 20"] [HEADING=1]Mtibwa Waitaka Yanga Manungu.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/273849620_676194817073020_7348114598058763460_n.webp.jpg[/IMG] UONGOZI wa Klabu ya Mtibwa Sugar, umeweka wazi kuwa, mchezo wao dhidi ya Yanga utafanyika Uwanja wa Manungu uliopo mkoani Morogoro na wala hawatauhamisha kwenda popote. Februari 23, mwaka huu, Mtibwa watakuwa wenyeji wa Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu Bara. Akizungumza na Spoti Xtra, Ofisa Habari wa Mtibwa Sugar, Thobias Kifaru, alisema: “Watu wanazusha kuwa mechi sijui itafanyika Tabora, lakini nataka niwaambie kuwa mechi ipo palepale katika uwanja wetu wa Manungu. “Sisi tunaitaka Yanga ije hapa Manungu, tumejipanga vizuri kuwakabili. “Kwa namna yoyote ile tutapata ushindi, huko nyuma tumepoteza mechi, lakini kwa Yanga tutapambana kushinda.” [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom