Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

REFA KOMBA KUCHEZESHA AMAZULU NA SETIF AFRIKA KUSINI.

SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limemteua refa wa Tanzania, Frank Komba kuwa miongoni mwa Waamuzi watakaochezesha mchezo wa hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika baina ya wenyeji, Amazulu na ES Sètif ya Algeria) Februari 25, mwaka huu Uwanja wa Mosses Mabhida, Durban nchini Afrika Kusini.

Aidha, CAF pia imewateua marefa wa kike wa Tanzania, Florentina Zablon, Janeth Balama, Glory Tesha na Tatu Malogo kuchezesha mchezo wa Kufuzu Kombe la Dunia kwa Wanawake U20 baina ya Ethiopia na Ghana Machi 13, mwaka huu Uwanja wa Abebe Bekila, Jijini Addis Ababa, Ethiopia.

CAF pia imemteua Meneja wa Bodi ya Ligi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TPLB), Jonathan Kasano kuwa Mratibu wa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika baina ya ndugu, Al Merrikh na Al Hilal Februari 25, mwaka huu Jijini Khartoum nchini Sudan.

Naye Meneja Mashindano wa TFF, Baraka Kizuguto ameteuliwa na CAF kuwa Mratibu wa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika baina ya ndugu pia, GD Sagrada Esperança na Petro Atlético Februari 26 nchini Angola.

[QUOTE="Amir, post: 988, member: 20"] [HEADING=2]REFA KOMBA KUCHEZESHA AMAZULU NA SETIF AFRIKA KUSINI.[/HEADING] [IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEhHb8Ig0Gu4F76QWOKOqJMfNQNn19MXp2ohLco56VU9x6m5N-YozlQdJAOZ8rPNYmNGsPbGCI8kfjJClhatxiZrhW-brQmK_RW4rMIy1XwrFXDYL9HgYyjRek5Q0cokiZdZatpAoufQFyJGszpBQsJNpkKVobeZFJ54LUF8KLYwxOnuia-5n_n5nhnN=w640-h522[/IMG] SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limemteua refa wa Tanzania, Frank Komba kuwa miongoni mwa Waamuzi watakaochezesha mchezo wa hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika baina ya wenyeji, Amazulu na ES Sètif ya Algeria) Februari 25, mwaka huu Uwanja wa Mosses Mabhida, Durban nchini Afrika Kusini. [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEh9KpgKTjimV1eZzIDTpv2BCQiR_t1pcTpusPcIl7ORNdkCShFQFZ8xrrsQmkGhOFT3h_GEd1tO2mFfy5VFAszcumZI0HQmBlGi1_izIFYjqbKy0XgjcECNTVDUdmnbxZZKlKKudTvAMtHQoyuF78uwy5LxgoYwMuQOT20cmeSND-iS8ykwjHszdoZL=s817'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEh9KpgKTjimV1eZzIDTpv2BCQiR_t1pcTpusPcIl7ORNdkCShFQFZ8xrrsQmkGhOFT3h_GEd1tO2mFfy5VFAszcumZI0HQmBlGi1_izIFYjqbKy0XgjcECNTVDUdmnbxZZKlKKudTvAMtHQoyuF78uwy5LxgoYwMuQOT20cmeSND-iS8ykwjHszdoZL=w622-h640[/IMG][/URL] Aidha, CAF pia imewateua marefa wa kike wa Tanzania, Florentina Zablon, Janeth Balama, Glory Tesha na Tatu Malogo kuchezesha mchezo wa Kufuzu Kombe la Dunia kwa Wanawake U20 baina ya Ethiopia na Ghana Machi 13, mwaka huu Uwanja wa Abebe Bekila, Jijini Addis Ababa, Ethiopia. [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEjvhN61gyLN80XmeiIA2T_zw91OYXWfWZWhF9KHKfxmfT3ZpCbLLkbLN3f6-xX1_ds9R9Y7Bj7ekcobgKCWogqmih2d-v3Iwf1qqRS8lvmvs8ZgsIFf5JRusU8sIf8ADMvWZVLazFJSKVx8j8Ms3fetqaqMhLJMGFy7YJoNSjTDKZC---Ph0tDmYmQe=s1080'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEjvhN61gyLN80XmeiIA2T_zw91OYXWfWZWhF9KHKfxmfT3ZpCbLLkbLN3f6-xX1_ds9R9Y7Bj7ekcobgKCWogqmih2d-v3Iwf1qqRS8lvmvs8ZgsIFf5JRusU8sIf8ADMvWZVLazFJSKVx8j8Ms3fetqaqMhLJMGFy7YJoNSjTDKZC---Ph0tDmYmQe=w640-h426[/IMG][/URL] CAF pia imemteua Meneja wa Bodi ya Ligi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TPLB), Jonathan Kasano kuwa Mratibu wa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika baina ya ndugu, Al Merrikh na Al Hilal Februari 25, mwaka huu Jijini Khartoum nchini Sudan. Naye Meneja Mashindano wa TFF, Baraka Kizuguto ameteuliwa na CAF kuwa Mratibu wa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika baina ya ndugu pia, GD Sagrada Esperança na Petro Atlético Februari 26 nchini Angola. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom