Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Deo Kanda Ruksa Kuivaa Yanga

MTIBWA Sugar imethibitisha kuwa muda wowote kuanzia sasa, itaanza kumtumia winga wao raia wa DR Congo, Deo Kanda baada ya kila kitu kukamilika.

Msemaji wa klabu hiyo, Thobias Kifaru, amesema kuwa walikuwa wanashindwa kumtumia nyota huyo kwa sababu kuna vitu kuhusu uhamisho wake vilikuwa havijakamilika ila kwa sasa kila kitu kipo sawa.

Akizungumza na Championi Ijumaa, Kifaru alisema: “Tunatarajia kuanza kumtumia Deo Kanda hivi karibuni changamoto ilikuwa upande wa wenzetu kushindwa kutuma kibali chake.

“Deo Kanda tulimsajili sisi wakati wa dirisha dogo ila hakuwa anaonekana uwanjani kwa sababu ya kibali chake lakini mawasiliano yamefanyika tayari na wenzetu.

“Na tutakipata hivi karibuni, yeye mwenyewe anatamani kuitumikia Mtibwa Sukari. Kama itakuwa sawa huenda akacheza dhidi ya Yanga.”

Kanda aliibuliwa na Motema Pemba ya DR Congo, kisha akajiunga na TP Mazembe, Vita Club, Raja Raja Casablanca, Simba na nyingine.

[QUOTE="Amir, post: 990, member: 20"] [HEADING=1]Deo Kanda Ruksa Kuivaa Yanga[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/269949212_1115045569039559_6237248116241113519_n.jpg[/IMG] MTIBWA Sugar imethibitisha kuwa muda wowote kuanzia sasa, itaanza kumtumia winga wao raia wa DR Congo, Deo Kanda baada ya kila kitu kukamilika[B].[/B] Msemaji wa klabu hiyo, Thobias Kifaru, amesema kuwa walikuwa wanashindwa kumtumia nyota huyo kwa sababu kuna vitu kuhusu uhamisho wake vilikuwa havijakamilika ila kwa sasa kila kitu kipo sawa. Akizungumza na Championi Ijumaa, Kifaru alisema: “Tunatarajia kuanza kumtumia Deo Kanda hivi karibuni changamoto ilikuwa upande wa wenzetu kushindwa kutuma kibali chake. “Deo Kanda tulimsajili sisi wakati wa dirisha dogo ila hakuwa anaonekana uwanjani kwa sababu ya kibali chake lakini mawasiliano yamefanyika tayari na wenzetu. “Na tutakipata hivi karibuni, yeye mwenyewe anatamani kuitumikia Mtibwa Sukari. Kama itakuwa sawa huenda akacheza dhidi ya Yanga.” Kanda aliibuliwa na Motema Pemba ya DR Congo, kisha akajiunga na TP Mazembe, Vita Club, Raja Raja Casablanca, Simba na nyingine. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom