Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
LIONEL MESSI
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Messi Atupia PSG Baada Ya Dakika 477.

HATIMAYE staa wa Paris Saint Germain, Lionel Messi amefanikiwa kufunga bao lake la pili ndani ya Ligue 1 baada ya kupita dakika 477.

Messi alifunga bao lake hilo la pili wakati PSG ikiibuka na ushindi wa mabao 5-1 dhidi ya Lille, juzi Jumapili timu yake ikiwa ugenini.

Katika mchezo huo, Messi alifunga bao moja na kutoa asisti moja dhidi ya wapinzani wake Lille.

Staa huyo ambaye ni mshindi wa tuzo za Ballon d’Or mara saba hajawa katika ubora wake hasa kwa kupachika mabao tangu atue katika viunga vya Parc des Princes.

Messi tangu atue Ligue 1 msimu huu wa 2021-22, bao lake la kwanza alifunga Novemba 20, 2021 wakati PSG ikivaana na Nantes na waliibuka na ushindi wa mabao 3-1 katika mchezo huo ambao alicheza kwa dakika 90.

Mpaka sasa ndani ya Ligue 1 kwa ujumla amehusika katika mabao tisa akifunga mabao mawili na asisti saba akicheza jumla ya dakika 982 sawa na mechi 13 za ligi hiyo kwa msimu huu mpaka sasa.

[QUOTE="vuligate, post: 792, member: 123"] [HEADING=1]Messi Atupia PSG Baada Ya Dakika 477.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/72362-16436128395176-1920.webp[/IMG] HATIMAYE staa wa Paris Saint Germain, Lionel Messi amefanikiwa kufunga bao lake la pili ndani ya Ligue 1 baada ya kupita dakika 477. Messi alifunga bao lake hilo la pili wakati PSG ikiibuka na ushindi wa mabao 5-1 dhidi ya Lille, juzi Jumapili timu yake ikiwa ugenini. Katika mchezo huo, Messi alifunga bao moja na kutoa asisti moja dhidi ya wapinzani wake Lille. Staa huyo ambaye ni mshindi wa tuzo za Ballon d’Or mara saba hajawa katika ubora wake hasa kwa kupachika mabao tangu atue katika viunga vya Parc des Princes. Messi tangu atue Ligue 1 msimu huu wa 2021-22, bao lake la kwanza alifunga Novemba 20, 2021 wakati PSG ikivaana na Nantes na waliibuka na ushindi wa mabao 3-1 katika mchezo huo ambao alicheza kwa dakika 90. Mpaka sasa ndani ya Ligue 1 kwa ujumla amehusika katika mabao tisa akifunga mabao mawili na asisti saba akicheza jumla ya dakika 982 sawa na mechi 13 za ligi hiyo kwa msimu huu mpaka sasa. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
LIONEL MESSI
Top
Bottom