Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Liverpool Inahitaji Quality Midfielder..!
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Ukiangalia Liverpool Kwa Sasa bila Thiago au Fabinho Inakuwa kama kuku aliyekatwa Kichwa.

Nimeangalia game 3 carabao Dhid ya Manchester City,Epl Dhidi Ya Aston villa na game ya jana Dhidi Ya Leicester City ukiangalia Kwa jicho la Ufundi unagundua mechi zote hizo Liverpool ilizidiwa Eneo la Kiungo Kwa Nini..??

Kuna Viungo Wawili tu Thiago na Fabinho ambao wanaonekana Wana uhai Eneo la Kiungo Mfano ukiangalia Leicester city Jana walianza na Viungo Watano Dhidi Ya Liverpool (Elliot, Henderson na Thiago) Kati ya Hao watatu ni thiago Peke Yake alikuw anaonekana anatimiza majukum yake kikamilifu Alikuwa Anakaba anapiga Pasi anazunguka Eneo Kubwa la uwanja Hiyo ilifanya Leicester City wawe Bora Eneo la Katikati.

Thiago na Fabinho Huwa wanajikuta wanakaba Eneo Kubwa sana la uwanja Hiyo inapelekea wanachoka Mapema angalia goli walilofunga Leicester Henderson anashindwa hata Kufanya faulo ya kiufund mchezaj anapita mbele yake.

Bila mbinu za klopp Liverpool ni weupe Sana Kwa Uwezo Wa mchezaj mmoj mmoj hasa eneo la kiungo kama thiago na Trent wakibanwa kupiga Pasi unaiyona Kabisa Liverpool wanahangaika kuipeleka timu mbele.

Kwa Sasa Liverpool Wanahitaji Mtu Mwingin Kwny eneo la Kiungo

[QUOTE="ChichaMandi, post: 2653, member: 573"] Ukiangalia Liverpool Kwa Sasa bila Thiago au Fabinho Inakuwa kama kuku aliyekatwa Kichwa. Nimeangalia game 3 carabao Dhid ya Manchester City,Epl Dhidi Ya Aston villa na game ya jana Dhidi Ya Leicester City ukiangalia Kwa jicho la Ufundi unagundua mechi zote hizo Liverpool ilizidiwa Eneo la Kiungo Kwa Nini..?? Kuna Viungo Wawili tu Thiago na Fabinho ambao wanaonekana Wana uhai Eneo la Kiungo Mfano ukiangalia Leicester city Jana walianza na Viungo Watano Dhidi Ya Liverpool (Elliot, Henderson na Thiago) Kati ya Hao watatu ni thiago Peke Yake alikuw anaonekana anatimiza majukum yake kikamilifu Alikuwa Anakaba anapiga Pasi anazunguka Eneo Kubwa la uwanja Hiyo ilifanya Leicester City wawe Bora Eneo la Katikati. Thiago na Fabinho Huwa wanajikuta wanakaba Eneo Kubwa sana la uwanja Hiyo inapelekea wanachoka Mapema angalia goli walilofunga Leicester Henderson anashindwa hata Kufanya faulo ya kiufund mchezaj anapita mbele yake. Bila mbinu za klopp Liverpool ni weupe Sana Kwa Uwezo Wa mchezaj mmoj mmoj hasa eneo la kiungo kama thiago na Trent wakibanwa kupiga Pasi unaiyona Kabisa Liverpool wanahangaika kuipeleka timu mbele. Kwa Sasa Liverpool Wanahitaji Mtu Mwingin Kwny eneo la Kiungo ✍🏿 [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Liverpool Inahitaji Quality Midfielder..!
Top
Bottom