Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Liverpool Inaonekana kuanza kuamka, baada ya mabadiliko kadhaa kwenye timu
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Liverpool Inaonekana kuanza kuamka, baada ya mabadiliko kadhaa kwenye timu.

Ingizo la kijana mdogo Stefan Bajcetic limerejesha nguvu iliyopotea kwenye eneo la kati la Liverpool.

Cody Gakpo anaonekana kuanza kuingia kwenye mfumo, goli mbili mfululizo kwenye mechi mbili tofauti, hiyo ni hatua kubwa kwake.

Bila kusahau kuwa nguvu ya Liverpool kwenye kushambulia ilikuwa kwa mabeki wa pembeni, yani Alexander Arnold na Andy Robertson, nguvu hii ilipotea kabisa baada ya Alexander Arnold kushuka kiwango, lakini sasa anaonekana kurudisha kiwango chake.

Kwa mabadiliko hayo, nategemea kuona Liverpool ikiendeleza ushindi kwenye mechi zifuatazo.

[ATTACH=full]1245[/ATTACH]

[QUOTE="Bangala, post: 3383, member: 570"] Liverpool Inaonekana kuanza kuamka, baada ya mabadiliko kadhaa kwenye timu. Ingizo la kijana mdogo Stefan Bajcetic limerejesha nguvu iliyopotea kwenye eneo la kati la Liverpool. Cody Gakpo anaonekana kuanza kuingia kwenye mfumo, goli mbili mfululizo kwenye mechi mbili tofauti, hiyo ni hatua kubwa kwake. Bila kusahau kuwa nguvu ya Liverpool kwenye kushambulia ilikuwa kwa mabeki wa pembeni, yani Alexander Arnold na Andy Robertson, nguvu hii ilipotea kabisa baada ya Alexander Arnold kushuka kiwango, lakini sasa anaonekana kurudisha kiwango chake. Kwa mabadiliko hayo, nategemea kuona Liverpool ikiendeleza ushindi kwenye mechi zifuatazo. [ATTACH type="full"]1245[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Liverpool Inaonekana kuanza kuamka, baada ya mabadiliko kadhaa kwenye timu
Top
Bottom