Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Liverpool kufuta uteja mbele ya Madrid leo?
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Usiku wa leo itapigwa mchezo wa ligi ya Mabingwa ulaya kati ya Liverpool dhidi ya Real Madrid kwenye dimba la Anfield.

Mchezo unaotazamiwa kuwa mkali na wakuvutia kutokana na ubora wa Liverpool kwa mechi za hivi karibuni na kurejea kwa baadhi ya nyota wao Van Djik, Jota na Firmino.

Kwenye michezo mitano ya mwisho kati ya timu hizi, Madrid ameshinda mechi 4 na sare moja huku mchezo wa mwisho kukutana ilikuwa tarehe 28/5/2022 kwenye fainali ya UEFA na Madrid kushinda goli 1-0.

Je, Liverpool akiwa ndani ya dimba lake la Anfield atafuta uteja mbele ya Madrid ya Benzema, Vin Jr, Modric na Rodrygo?[ATTACH=full]1249[/ATTACH]

[QUOTE="Sports journalist, post: 3386, member: 622"] Usiku wa leo itapigwa mchezo wa ligi ya Mabingwa ulaya kati ya Liverpool dhidi ya Real Madrid kwenye dimba la Anfield. Mchezo unaotazamiwa kuwa mkali na wakuvutia kutokana na ubora wa Liverpool kwa mechi za hivi karibuni na kurejea kwa baadhi ya nyota wao Van Djik, Jota na Firmino. Kwenye michezo mitano ya mwisho kati ya timu hizi, Madrid ameshinda mechi 4 na sare moja huku mchezo wa mwisho kukutana ilikuwa tarehe 28/5/2022 kwenye fainali ya UEFA na Madrid kushinda goli 1-0. Je, Liverpool akiwa ndani ya dimba lake la Anfield atafuta uteja mbele ya Madrid ya Benzema, Vin Jr, Modric na Rodrygo?[ATTACH type="full"]1249[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Liverpool kufuta uteja mbele ya Madrid leo?
Top
Bottom