Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Liverpool Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Klopp Amsifu Mo Salah Kwa Mabao 150

JURGEN Klopp amekiri kuwa hakuna aliyetarajia kuwa Mo Salah atakuwa gwiji wa kufunga mabao Liverpool haraka namna hiyo kufuatia Mmisri huyo kufunga bao lake la 150 juzi kwenye ushindi wa 3-1 dhidi ya Norwich.

Salah alionekana atakuwa wa kawaida tu aliposajiliwa na Liverpool kutokea Roma kwa pauni mil 36 mwaka 2017 kutokana na kucheza kawaida alipokuwa na Chelsea hapo awali.

Hata hivyo, alifunga katika mchezo wake wa kwanza dhidi ya Watford na tangu hapo hajaacha kufunga. Sasa amefikisha mabao 150 katika mechi 233, na ameweka rekodi ya kuwa na uwiano bora zaidi wa mabao ukilinganisha na mechi alizocheza, kuliko mchezaji yeyote wa Liverpool kihistoria ambaye ameifungia klabu hiyo mabao zaidi ya 30.

Hii maana yake ni kwamba amefikisha idadi ya mabao 150 kwa haraka zaidi, yaani katika mechi chache zaidi.

“Bao lake la kwanza pale Watford pengine ndilo lilikuwa rahisi zaidi. Alifunga mabao mengine 149 ndani ya kipindi kifupi sana,” alisema Klopp.

“Siwezi kukumbuka mabao yake yote lakini nayakumbuka mengi na kulikuwa na mabao mengine mazuri zaidi. Dhidi ya Chelsea, akifunga kutoka kwenye kona, alipofunga baada ya kukokota mpira dhidi ya Manchester City, dhidi ya United kwa pasi ya Alisson. Na leo (juzi) lilikuwa bao zuri kusema ukweli.”

Salah sasa amekuwa mmoja wa wachezaji 10 tu katika histori

[QUOTE="mhariri, post: 1030, member: 122"] [HEADING=1]Klopp Amsifu Mo Salah Kwa Mabao 150[IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/P2020-09-12-Liverpool_Leeds-122.jpg[/IMG][/HEADING] JURGEN Klopp amekiri kuwa hakuna aliyetarajia kuwa Mo Salah atakuwa gwiji wa kufunga mabao Liverpool haraka namna hiyo kufuatia Mmisri huyo kufunga bao lake la 150 juzi kwenye ushindi wa 3-1 dhidi ya Norwich. Salah alionekana atakuwa wa kawaida tu aliposajiliwa na Liverpool kutokea Roma kwa pauni mil 36 mwaka 2017 kutokana na kucheza kawaida alipokuwa na Chelsea hapo awali. Hata hivyo, alifunga katika mchezo wake wa kwanza dhidi ya Watford na tangu hapo hajaacha kufunga. Sasa amefikisha mabao 150 katika mechi 233, na ameweka rekodi ya kuwa na uwiano bora zaidi wa mabao ukilinganisha na mechi alizocheza, kuliko mchezaji yeyote wa Liverpool kihistoria ambaye ameifungia klabu hiyo mabao zaidi ya 30. Hii maana yake ni kwamba amefikisha idadi ya mabao 150 kwa haraka zaidi, yaani katika mechi chache zaidi. “Bao lake la kwanza pale Watford pengine ndilo lilikuwa rahisi zaidi. Alifunga mabao mengine 149 ndani ya kipindi kifupi sana,” alisema Klopp. “Siwezi kukumbuka mabao yake yote lakini nayakumbuka mengi na kulikuwa na mabao mengine mazuri zaidi. Dhidi ya Chelsea, akifunga kutoka kwenye kona, alipofunga baada ya kukokota mpira dhidi ya Manchester City, dhidi ya United kwa pasi ya Alisson. Na leo (juzi) lilikuwa bao zuri kusema ukweli.” Salah sasa amekuwa mmoja wa wachezaji 10 tu katika histori [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Liverpool Thread
Top
Bottom