Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Liverpool Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

LIVERPOOL YAISHINDILIA LEEDS 6-0 ANFIELD

WENYEJI, Liverpool wameibuka na ushindi wa 6-0 dhidi ya Leeds United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Anfield usiku wa Jumatano.

Mabao ya Liverpool yamefungwa na Mohammed Salah kwa penalti yote mawili, dakika ya 15 na 35, Joel Matip dakika ya 30, Sadio Mane mawili pia dakika ya 80 na 90 na beki Virgil Van Dijk dakika ya 90 na ushei.

Kwa ushindi huo, Liverpool inafikisha pointi 60, sasa ikizidiwa tatu tu na Mabingwa watetezi, Manchester City baada ya timu zote kucheza mechi 26, wakati Leeds inabaki na pointi zake 23 za mechi 25 nafasi ya 15.

[QUOTE="Amir, post: 1053, member: 20"] [HEADING=2]LIVERPOOL YAISHINDILIA LEEDS 6-0 ANFIELD[/HEADING] [IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEgpLruB8wXh7medzUarf-WGNZHij3PXeZR9xge1TERX8Opgdhm4U1WaNKcwgobDZbb2rIwsqiyBESg3DCaXpNbyvRZXP1jM17E7dRt8fS1UyViSfry2OqaRcwrYdC-X30XZ-e5rNIL_VUXWAoguyAa0jvZ1fYFJ1QBATBpZOhY_OlT1q74UTPC79F5G=w640-h436[/IMG] WENYEJI, Liverpool wameibuka na ushindi wa 6-0 dhidi ya Leeds United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Anfield usiku wa Jumatano. Mabao ya Liverpool yamefungwa na Mohammed Salah kwa penalti yote mawili, dakika ya 15 na 35, Joel Matip dakika ya 30, Sadio Mane mawili pia dakika ya 80 na 90 na beki Virgil Van Dijk dakika ya 90 na ushei. Kwa ushindi huo, Liverpool inafikisha pointi 60, sasa ikizidiwa tatu tu na Mabingwa watetezi, Manchester City baada ya timu zote kucheza mechi 26, wakati Leeds inabaki na pointi zake 23 za mechi 25 nafasi ya 15. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Liverpool Thread
Top
Bottom