Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Liverpool Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

MANE AIFUNGIA BAO PEKEE LIVERPOOL YASHINDA 1-0

BAO pekee la mshambuliaji Msenegal, Sadio Mane dakika ya 27, limeipa Liverpool ushindi wa 1-0 dhidi ya West Ham United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku huu Uwanja wa Anfield.

Liverpool inafikisha pointi 63, ingawa inabaki nafasi ya pili ikizidiwa pointi tatu tu na mabingwa watetezi, Manchester City baada ya kila timu kucheza mechi 27.

West Ham United baada ya kichapo cha leo inabaki na pointi 45 za mechi 28 nafasi ya tano.

[QUOTE="vuligate, post: 1181, member: 123"] [HEADING=2]MANE AIFUNGIA BAO PEKEE LIVERPOOL YASHINDA 1-0[URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEgvpBeR5N6KuNmSdaz-g4jhXMSqSVJTSWzkKcz-OoEv3kxwA7IgLl_Le3ojjx-3Mp1osojDAlYi-0wQnlK21YqwsRRODVvqj7ORmDhy6CdTx07KhJZycsHXYdeUhRQg-76gv7HyMSVqu1bP6PpWaS9XEOv72_ZV-MXSutYcge5Pj737EYGXY9FVnPTG=s962'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEgvpBeR5N6KuNmSdaz-g4jhXMSqSVJTSWzkKcz-OoEv3kxwA7IgLl_Le3ojjx-3Mp1osojDAlYi-0wQnlK21YqwsRRODVvqj7ORmDhy6CdTx07KhJZycsHXYdeUhRQg-76gv7HyMSVqu1bP6PpWaS9XEOv72_ZV-MXSutYcge5Pj737EYGXY9FVnPTG=w640-h448[/IMG][/URL][/HEADING] BAO pekee la mshambuliaji Msenegal, Sadio Mane dakika ya 27, limeipa Liverpool ushindi wa 1-0 dhidi ya West Ham United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku huu Uwanja wa Anfield. Liverpool inafikisha pointi 63, ingawa inabaki nafasi ya pili ikizidiwa pointi tatu tu na mabingwa watetezi, Manchester City baada ya kila timu kucheza mechi 27. West Ham United baada ya kichapo cha leo inabaki na pointi 45 za mechi 28 nafasi ya tano. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Liverpool Thread
Top
Bottom