Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Liverpool Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

LIVEROOOL YAICHAPA BRIGHTON 2-0 UGENINI

TIMU ya Liverpool jana imepata ushindi wa ugenini wa 2-0 dhidi ya Brighton & Hove Albion katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa The AMEX.

Mabao ya Liverpool yalifungwa na Luis Diaz dakika ya 19 na Mohamed Salah kwa penalti dakika ya 61 baada ya Yves Bissouma kuunawa mpira.

Kwa ushindi huo Liverpool inafikisha pointi 66, ingawa inabaki nafasi ya pili, ikizidiwa pointi tatu na Manchester City wanaoongoza, wakati Brighton inabaki na pointi zake 33 katika nafasi ya nane baada ya timu kucheza mechi 28.

[QUOTE="vuligate, post: 1235, member: 123"] [HEADING=2]LIVEROOOL YAICHAPA BRIGHTON 2-0 UGENINI[/HEADING] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEiYytjr5jm5IbZBTXzUvmQcLhYQ9MPNKcXwAPiV_3Hv0vde7rRmsAEr2DI3Cep0p3rBDQ7rM2w5d0MjzdDiyXs61UB2-LPPRof7P8hFwnqZub75UtLoKyF703os6FJcmX-v7RsT3zpHfM7kTk7g0MA5Yj7Q8WTytSIlBPHHb4LYqtKezisSphRfqb56=s962'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEiYytjr5jm5IbZBTXzUvmQcLhYQ9MPNKcXwAPiV_3Hv0vde7rRmsAEr2DI3Cep0p3rBDQ7rM2w5d0MjzdDiyXs61UB2-LPPRof7P8hFwnqZub75UtLoKyF703os6FJcmX-v7RsT3zpHfM7kTk7g0MA5Yj7Q8WTytSIlBPHHb4LYqtKezisSphRfqb56=w640-h426[/IMG][/URL] TIMU ya Liverpool jana imepata ushindi wa ugenini wa 2-0 dhidi ya Brighton & Hove Albion katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa The AMEX. Mabao ya Liverpool yalifungwa na Luis Diaz dakika ya 19 na Mohamed Salah kwa penalti dakika ya 61 baada ya Yves Bissouma kuunawa mpira. Kwa ushindi huo Liverpool inafikisha pointi 66, ingawa inabaki nafasi ya pili, ikizidiwa pointi tatu na Manchester City wanaoongoza, wakati Brighton inabaki na pointi zake 33 katika nafasi ya nane baada ya timu kucheza mechi 28. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Liverpool Thread
Top
Bottom