Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Liverpool Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

WENYEJI, Liverpool usiku wa alhamisi wamewatandika Newcastle United mabao 3-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Anfield, Liverpool.

Mabao ya Liverpool yalifungwa na Diogo Jota dakika ya 21, Mohamed Salah dakika ya 25 na Trent Alexander-Arnold dakika ya 87 baada ya Newcastle kutangulia kwa bao la Jonjo Shelvey dakika ya saba.

Liverpool inafikisha pointi 40, lakini inabaki nafasi ya pili ikizidiwa pointi moja na mabingwa watetezi, Manchester City baada ya wote kucheza mechi 17.

Hali inazidi kuwa mbaya kwa Newcastle United ikibaki na pointi zake 10, yaani inaizidi tu wastani wa mabao Norwich City inayoshika mkia.

[QUOTE="mhariri, post: 125, member: 122"] WENYEJI, Liverpool usiku wa alhamisi wamewatandika Newcastle United mabao 3-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Anfield, Liverpool. Mabao ya Liverpool yalifungwa na Diogo Jota dakika ya 21, Mohamed Salah dakika ya 25 na Trent Alexander-Arnold dakika ya 87 baada ya Newcastle kutangulia kwa bao la Jonjo Shelvey dakika ya saba. Liverpool inafikisha pointi 40, lakini inabaki nafasi ya pili ikizidiwa pointi moja na mabingwa watetezi, Manchester City baada ya wote kucheza mechi 17. Hali inazidi kuwa mbaya kwa Newcastle United ikibaki na pointi zake 10, yaani inaizidi tu wastani wa mabao Norwich City inayoshika mkia. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Liverpool Thread
Top
Bottom