Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Liverpool Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

LIVERPOOL YAITANDIKA MAN UNITED 4-0 ANFIELD

WENYEJI, Liverpool wamewatandika mahasimu, Manchester United mabao 4-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Jumanne Uwanja wa Anfield.

Mabao ya Liverpool yamefungwa na Luis Diaz dakika ya tano, Mohamed Salah mawili, dakika ya 22 na 85 na Sadio Mane dakika ya 68.

Liverpool inafikisha pointi 76 katika mchezo wa 32 na kupanda kileleni, ikiizidi pointi mbili Manchester City ambayo ina mechi moja mkononi na leo inacheza na Brighton & Hove Albion, wakati Man United inabaki na pointi zake 54 za mechi 33 sasa nafasi ya sita.

[QUOTE="Amir, post: 1427, member: 20"] [HEADING=2]LIVERPOOL YAITANDIKA MAN UNITED 4-0 ANFIELD[/HEADING] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhJPtEbLUqV-PIKRm-X7A5betw_BT8y4UKqwpd_QSCRLOUkuAYSqajeue3uxj1ePARze8bDlIZlyFCyEaYGdD6UQZaZJ2JAGz5h3dY5DlTy48a-Wfnt8iGERKuyN01DNmoqow_TBz89DLy-m1DFqZAg--FIkatRP1a_oO6rHnSXgDHiPbIRXErbwE_x/s962/3BE840C3-DECA-4C2D-BE5E-F88E6C260A5A.jpeg'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhJPtEbLUqV-PIKRm-X7A5betw_BT8y4UKqwpd_QSCRLOUkuAYSqajeue3uxj1ePARze8bDlIZlyFCyEaYGdD6UQZaZJ2JAGz5h3dY5DlTy48a-Wfnt8iGERKuyN01DNmoqow_TBz89DLy-m1DFqZAg--FIkatRP1a_oO6rHnSXgDHiPbIRXErbwE_x/w640-h440/3BE840C3-DECA-4C2D-BE5E-F88E6C260A5A.jpeg[/IMG][/URL] WENYEJI, Liverpool wamewatandika mahasimu, Manchester United mabao 4-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Jumanne Uwanja wa Anfield. Mabao ya Liverpool yamefungwa na Luis Diaz dakika ya tano, Mohamed Salah mawili, dakika ya 22 na 85 na Sadio Mane dakika ya 68. Liverpool inafikisha pointi 76 katika mchezo wa 32 na kupanda kileleni, ikiizidi pointi mbili Manchester City ambayo ina mechi moja mkononi na leo inacheza na Brighton & Hove Albion, wakati Man United inabaki na pointi zake 54 za mechi 33 sasa nafasi ya sita. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Liverpool Thread
Top
Bottom