Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Liverpool Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

LIVERPOOL YAICHAPA EVERTON 2-0 ANFIELD

WENYEJI, Liverpool wameibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya mahasimu, Everton katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Anfield, Liverpool.

Mabao ya Liverpool yamefungwa na Andrew ‘Andy’ Robertson dakika ya 62 na Divock Origi dakika ya 85 na kwa ushindi huo wanafikisha pointi 79, ingawa wanabaki nafasi ya pili wakizidiwa pointi moja na Manchester City baada ya wote kucheza mechi 33.

Everton baada ya kupoteza mchezo huo wanabaki na pointi zao 29 za mechi 32 sasa nafasi ya 18 kwenye ligi ya timu 20, ambayo mwisho wa msimu tatu zitashuka.

[QUOTE="Amir, post: 1436, member: 20"] [HEADING=2]LIVERPOOL YAICHAPA EVERTON 2-0 ANFIELD[/HEADING] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjLkjUy4rk2vA1eDoejECUsgC0vpTVnyRy8SM5NpbQh645Q4jhK_13tiSXJoUzRqbD0aNR7A8pXT4J5BoTouaaYOlJdt_JTex15QvfQTz8ezUiPglnPCK-54p043tqKKPBuRls2z7tAPxZ7afq48sjhsbpkFkvGPg6d810QhHUCHeSmXRrlVjQCfh1v/s634/D758E3C1-E8AD-47E6-9279-CD991BA7209A.jpeg'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjLkjUy4rk2vA1eDoejECUsgC0vpTVnyRy8SM5NpbQh645Q4jhK_13tiSXJoUzRqbD0aNR7A8pXT4J5BoTouaaYOlJdt_JTex15QvfQTz8ezUiPglnPCK-54p043tqKKPBuRls2z7tAPxZ7afq48sjhsbpkFkvGPg6d810QhHUCHeSmXRrlVjQCfh1v/w640-h408/D758E3C1-E8AD-47E6-9279-CD991BA7209A.jpeg[/IMG][/URL] WENYEJI, Liverpool wameibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya mahasimu, Everton katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Anfield, Liverpool. Mabao ya Liverpool yamefungwa na Andrew ‘Andy’ Robertson dakika ya 62 na Divock Origi dakika ya 85 na kwa ushindi huo wanafikisha pointi 79, ingawa wanabaki nafasi ya pili wakizidiwa pointi moja na Manchester City baada ya wote kucheza mechi 33. Everton baada ya kupoteza mchezo huo wanabaki na pointi zao 29 za mechi 32 sasa nafasi ya 18 kwenye ligi ya timu 20, ambayo mwisho wa msimu tatu zitashuka. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Liverpool Thread
Top
Bottom