Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Liverpool Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

LIVERPOOL YAICHAPA VILLARREAL 2-0 ANFIELD

WENYEJI, Liverpool wameibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Villarreal ya Hispania katika mchezo wa kwanza wa Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa Jumatano Uwanja wa Anfield, Liverpool.

Bao kwanza la Liverpool beki wa Kimataifa wa Ecuador, Pervis Josué Estupiñán Tenorio alijifunga dakika ya 53 akijaribu kuokoa krosi ya Jordan Henderson.

Na la pili lilifungwa na mshambuliaji wa Senegal, Sadio Mané dakika mbili tu baadaye akimalizia pasi ya nyota wa Misri, Mohamed Salah na sasa timu hizo zitarudiana Mei 3 Uwanja wa De la Cerámica mjini Villarreal.

[QUOTE="Amir, post: 1443, member: 20"] [HEADING=2]LIVERPOOL YAICHAPA VILLARREAL 2-0 ANFIELD[/HEADING] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEge5PjHmdlIXsfYydh5sJ5nnofCc_-w_mmc5kyltS8GaFdYqbopx2C1jguZ0679n9QDlutO5atjTJzsKEDJ6h9_5m2iGS8tqMXdXIxJGFgdYCP4tzBiughi8LkBWj572ULJ_Wg2Yj8jm6C0VpUlWFXSX4MkCpAzipsf-rzpQ-ltdxKe6Q9VGa9h0yDt/s962/A6E382F6-9D2A-4BD7-BA7E-549C08019E01.jpeg'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEge5PjHmdlIXsfYydh5sJ5nnofCc_-w_mmc5kyltS8GaFdYqbopx2C1jguZ0679n9QDlutO5atjTJzsKEDJ6h9_5m2iGS8tqMXdXIxJGFgdYCP4tzBiughi8LkBWj572ULJ_Wg2Yj8jm6C0VpUlWFXSX4MkCpAzipsf-rzpQ-ltdxKe6Q9VGa9h0yDt/w640-h612/A6E382F6-9D2A-4BD7-BA7E-549C08019E01.jpeg[/IMG][/URL] WENYEJI, Liverpool wameibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Villarreal ya Hispania katika mchezo wa kwanza wa Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa Jumatano Uwanja wa Anfield, Liverpool. Bao kwanza la Liverpool beki wa Kimataifa wa Ecuador, Pervis Josué Estupiñán Tenorio alijifunga dakika ya 53 akijaribu kuokoa krosi ya Jordan Henderson. Na la pili lilifungwa na mshambuliaji wa Senegal, Sadio Mané dakika mbili tu baadaye akimalizia pasi ya nyota wa Misri, Mohamed Salah na sasa timu hizo zitarudiana Mei 3 Uwanja wa De la Cerámica mjini Villarreal. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Liverpool Thread
Top
Bottom