Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Liverpool Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

SALAH AKOSA PENALTI, LIVERPOOL YAPIGWA 1-0

[ATTACH=full]104[/ATTACH]

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Misri, Mohamed Salah jana alikosa penalti Liverpool ikichapwa bao 1-0 na wenyeji, Leicester City katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa King Power.

Mkwaju wa penalti wa Salah ulipanguliwa na kipa Kasper Schmeichel dakika ya 15 na alipojaribu kuunganisha mpira uliorudi ukagonga mwamba.

Bao pekee la Leicester City lilifungwa na mshambuliaji wa zamani wa Everton, Ademola Lookman dakika ya 59 na kwa ushindi huo katika mchezo wa 18 wanafikisha pointi 25 katika nafasi ya tisa.

Kwa upande wao Liverpool wanabaki na pointi zao 41 katika nafasi ya pili, sawa na Chelsea ya tatu, wote wakiwa nyuma ya mabingwa watetezi, Manchester City baada ya timu zote kucheza mechi 19.

[QUOTE="vuligate, post: 215, member: 123"] [HEADING=2]SALAH AKOSA PENALTI, LIVERPOOL YAPIGWA 1-0[/HEADING] [ATTACH type="full"]104[/ATTACH] MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Misri, Mohamed Salah jana alikosa penalti Liverpool ikichapwa bao 1-0 na wenyeji, Leicester City katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa King Power. Mkwaju wa penalti wa Salah ulipanguliwa na kipa Kasper Schmeichel dakika ya 15 na alipojaribu kuunganisha mpira uliorudi ukagonga mwamba. Bao pekee la Leicester City lilifungwa na mshambuliaji wa zamani wa Everton, Ademola Lookman dakika ya 59 na kwa ushindi huo katika mchezo wa 18 wanafikisha pointi 25 katika nafasi ya tisa. Kwa upande wao Liverpool wanabaki na pointi zao 41 katika nafasi ya pili, sawa na Chelsea ya tatu, wote wakiwa nyuma ya mabingwa watetezi, Manchester City baada ya timu zote kucheza mechi 19. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Liverpool Thread
Top
Bottom